Ya mtwara na makuadi wa soko huria - chachage s. C.

Ya mtwara na makuadi wa soko huria - chachage s. C.

TZ yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
375
Reaction score
198
Ukisoma hii riwaya inajaribu kuzungumzia uwekezaji na namna viongozi na wananchi wanavyotofautiana kimtazamo, ama kweli fasihi na jamii.
 
' Kwa heri ukoloni kwaheri Uhuru' ndio kitabu cha Mwisho kutungwa na Gwiji hili la taaluma ya Siasa kupinga Ubinafsishaji. Vijana jitahidi sana Mkipate kitabu hiki japo kuna jitihada za Makusudi kipotee kwenye Library zote ili kufukia Chemchem huru na ya Kizalendo ya Kifikra!
 
Back
Top Bottom