Kila napotia mguu upo na ww hebu gimme a break lol hupitwi hushuhudii
Ajajajajaja Mtu kapendwa huku na mtoto aw kitanga hureeeeeeeeeeeeeekwa kweli utakufa kwa umbea si mwingine bali kabanga haya ushahema huko ulilko
Hahaha na me nilimuwaza Huyo but herufi ya Mwisho ikagoma, likaja lile jina la mr English wapiiii. Hapa Roho yangu kwatuuuuuuuuuuuuu,Daah mi najaribu kufikiria hapa huyo mtu....au Kaizer (kumbuka hii inatamkwa kaiza) lol