Ya Mbowe na CHADEMA yabainika

Ya Mbowe na CHADEMA yabainika

Mwanzo Shiza

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
79
Reaction score
36
Breaking News: Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

SIO SIRI TENA CHADEMA, WAINUA MIKONO JUU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, 2019

Kwa lugha rahisi ni kwamba wameweka mpira kwapani lakini Kagere na Molinga wanataka kuupiga.

Kikao cha Kamati Kuu kinachoendelea muda huu katika hoteli ya St. Gasper jijini Dodoma kimembana Mbowe kutoa fedha za chama hicho ambazo hutokana na michango ya Wabunge na wadau mbalimbali ili ziwawezeshe kushiriki vilivyo kwenye uchaguzi huo. Hata hivyo Mbowe amegoma na amesema hana deni kwa Wabunge na Chama hicho.

Kutokana na hali hiyo kikao kimeamua kupitisha agenda ya kutoshiriki uchaguzi huo. Mbowe amejitolea kuwa atawaeleza waandishi wa habari kuwa sababu za kujitoa ni kutokana na changamoto walizokumbana nazo wagombea wao.

Hata hivyo kipenyezeo cha taarifa kilochopo ndani ndani ndani zaidi kimeeleza kuwa sababu ni:

Moja, ukata wa fedha kushiriki uchaguzi huo.

Mbili, wamesimamisha wagombea kwa asilimia ishirini tu (20%) nchi nzima. Ambapo hadi sasa CCM imepita bila kupingwa kwa 80%. Hali hii imewaogopesha sana.

Tatu, kikao kimetoa tathmini ya makosa yaliyofanywa na wagombea wao wakati wa kujaza fomu na kugundua kuwa hata wakienda Mahakamani hawawezi kushinda kwa kuwa makosa yako wazi sana. Hapa walianza kulaumiana kuwa kwa nini ngazi za Wilaya na Mikoa hazikuwasimamia wagombea hao.

Nne, kukosekana kwa mashina ya CHADEMA nchi nzima. Wamejikuta hawana Makatibu wa Mashina kwa mikoa mingi kama ilivyo kwa CCM.

Mbowe Mbowe Mbowe, hilo lako baba wala usisingizia rafu kwani umezicheza mwenyewe.

Kwenu sasa vyama vingine, fursa hiyooooo.
 
Shukuru kwamba moderator on duty anavumilia huu upumbavu

Hii thread haistahili kuwepo hewani
 
Kwahiyo Mbowe ndio amesababisha majina ya wagombea wa upinzani kutoteuliwa!? Stupid kabisa!
 
Breaking News: Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

SIO SIRI TENA CHADEMA, WAINUA MIKONO JUU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, 2019

Kwa lugha rahisi ni kwamba wameweka mpira kwapani lakini Kagere na Molinga wanataka kuupiga.

Kikao cha Kamati Kuu kinachoendelea muda huu katika hoteli ya St. Gasper jijini Dodoma kimembana Mbowe kutoa fedha za chama hicho ambazo hutokana na michango ya Wabunge na wadau mbalimbali ili ziwawezeshe kushiriki vilivyo kwenye uchaguzi huo. Hata hivyo Mbowe amegoma na amesema hana deni kwa Wabunge na Chama hicho.

Kutokana na hali hiyo kikao kimeamua kupitisha agenda ya kutoshiriki uchaguzi huo. Mbowe amejitolea kuwa atawaeleza waandishi wa habari kuwa sababu za kujitoa ni kutokana na changamoto walizokumbana nazo wagombea wao.

Hata hivyo kipenyezeo cha taarifa kilochopo ndani ndani ndani zaidi kimeeleza kuwa sababu ni:

Moja, ukata wa fedha kushiriki uchaguzi huo.

Mbili, wamesimamisha wagombea kwa asilimia ishirini tu (20%) nchi nzima. Ambapo hadi sasa CCM imepita bila kupingwa kwa 80%. Hali hii imewaogopesha sana.

Tatu, kikao kimetoa tathmini ya makosa yaliyofanywa na wagombea wao wakati wa kujaza fomu na kugundua kuwa hata wakienda Mahakamani hawawezi kushinda kwa kuwa makosa yako wazi sana. Hapa walianza kulaumiana kuwa kwa nini ngazi za Wilaya na Mikoa hszikuwasimamia wagombea hao.

Nne, kukosekana kwa mashina ya CHADEMA nchi nzima. Wamejikuta hawana Makatibu wa Mashina kwa mikoa mingi kama ilivyo kwa CCM.

Mbowe Mbowe Mbowe, hilo lako baba wala usisingizia rafu kwani umezicheza mwenyewe.

Kwenu sasa vyama vingine, fursa hiyooooo.
It's a time for Mbowe to be dethroned
 
Nimebaini kuwa huu ni mwandiko wakike.
mimi ni mhafidhina ninaeamini kuwa maendeleo hayana chama.
 
Umeandika porojo .Kunywa maji tulia andika upya tukuelewe.
 
Ungekuwa karibu yangu mleta mada ningekushindilia gogo huko nyuma kwako!!
 
Back
Top Bottom