Ya Mange na Zamradi na picha ya Boss Ruge wa Clouds

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,771
7,138
Angalia mshangao wa Mange Kimambi alivyomwaminia Zamaradi kumteka kimahaba boss wake ruge

upload_2016-7-10_15-9-16.png
 
Sijaelewa kabisa wamefanya nini?? Huyo mwenye kanzu ni nini?
Nimejikuta nacheka sana kwa hilo swali lako, mkuu huyu ndio nani eti?! Kazi kwelikweli. Ndie RUGE MUTAHABA BOSI WA CLOUDS, na mpenzi wake ZAMARADI mtangazaji wa clouds TV, ndie alie muhoji shoga, na bosi RUGE amesema hawaombi radhi ng'oo, chezea mahaba kazini wewe.
 
Dah nilidhani wachumi furani, sasa hot news yao kuwa hapa JF ni nini?? Wanatangaza ushoga??
 
daaah kweli pesa ndio handsome boi hapa mjini....siamini kabisa kama huyo ndio Ruge anaewaburuza watoto wazuri hapa mjini

ngoja niendelee kuchimba chumvi nizikamate na mimi
 
Hakuna binadamu mwenye hati miliki ya binadamu mwenzie, huo undezi uliishaga tangu utumwa ulipokatazwa.
 
Back
Top Bottom