Ya Madeleka yanaweza kumpata Mbowe

Ya Madeleka yanaweza kumpata Mbowe

Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.

Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.

Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.

Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.

Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.

Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
WAJARIBU KUFUFUA MAKABURI WALIOTUKOPESHA WATATAKA FEDHA ZAO
 
Amfunge Mbowe ili akiwa anaenda nje azomewe
 
Mtu asiyejua chochote ndio anaweza kuchukulia serious maamuzi ya mahakama zetu. Rostam aliweka wazi kuwa mahakama zinaweza kupigiwa simu na kupangiwa aina ya hukumu. Kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilizidharau mahakama zetu moja kwa moja. Ni kweli kesi ya Mbowe inaweza kufufuliwa lakini sio kwa ushahidi wa kesi ile, bali kwa kumkomoa Mbowe. Ni mahakama fulani za kishenzi mno.
 
Sasa wewe unadhani upumbavu wa namna hiyo utaachwa uendelee Tanzania hadi lini?

Hili swali mnadhani halistahili kupata jibu?
 
Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.

Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.

Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.

Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.

Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.

Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Kwani Samia hajipendi?
 
Mtu asiyejua chochote ndio anaweza kuchukulia serious maamuzi ya mahakama zetu. Rostam aliweka wazi kuwa mahakama zinaweza kupigiwa simu na kupangiwa aina ya hukumu. Kwenye ile kesi ya Mbowe ndio nilizidharau mahakama zetu moja kwa moja. Ni kweli kesi ya Mbowe inaweza kufufuliwa lakini sio kwa ushahidi wa kesi ile, bali kwa kumkomoa Mbowe. Ni mahakama fulani za kishenzi mno.
Vipi anayekuteua anasema utafanya nitakavyo au laa?unafikiri jibu la mteuliwa,na huo ndio ugali waka yeye atasemaje?Bila shaka nitafanya utakavyo.
 
Madeleka yamemkuta; kashinda rufaa, kasindwa kupata kusafishwa kuwa hajawahi kufungwa kwa kosa la jinai. Mahakama imesema kama anataka kuonekana hajawahi kupatikana na kosa la jinai- kesi yake isikilizwe upya.

Kesi yake ilikuwa ya uhujumu uchumi ambayo haina dhamana.

Kwa misingi hiyo polisi imebidi wachukue mtu wao, wanae, na kesi itaendelea.

Hili linaibua kesi ya ugaidi ya Mbowe; Mbowe alipatikana na kesi ya kujibu; serikali ilipopata uamuzi huo ikaondoa kesi mahakamani.

Ajabu na kwa mashangao mkubwa, mawakili wa utetezi wakashangilia kana kwamba wameshinda kesi.

Nadhani ipo siku mazingira yatajijenga, kesi itafufuka.
Uliona Mbali balaaa
 
Back
Top Bottom