ya kwenye moving camera na uhalisia..

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
hivi ushagundua kuwa yale yanayofanyika wakati wa kufunga ndoa au sijui ndo kurudi kundini hayana uhalisia wowote!! Kutokana na research isiyo rasmi nimegundua kuwa 90% ya ndoa hizo yaliyofanyika ukumbini kama:
-kulishana mdomo kwa mdomo,
-kuvuana koti,
-kupepeana kutengenezea tai, n.k

Jeeee?? Kwa nini hayafanyiki haya?? Yangekua yanafanyika kuvunjika kwa ndoa haraka kungepungua au kwa ngel wanasema
''possibility of marriage breakdown would be redused''
Naombenii sababuuu!!!!
 
Back
Top Bottom