thread za kitoto hizi.
thread za kitoto hizi.
mimi nilijua JKT wamekwenda wote
habari wakuu:, ma X kaniwish happybirthday leo na pia leo ni siku ambayo miaka 5 nyuma ndio tulianzisha mapenzi. Ni miezi 7 sasa toka tumetengana. Je anisanifu aone nitajibu nn? Kama sio nisaidieni jinsi ya kumjibu[/QUO
Ulistahiri kuachwa kama ishu ndogo kama hii unaleta Jf.
Mtu kakuwish happy birthday unauliza umjibu nini makubwa
mjibu merry christmass...
Mtu kakuwish happy birthday unauliza umjibu nini makubwa
mjibu merry christmass...