Ya kunguru usiyoyajua

Hawa wadudu wancrem had sura kuna Dogo alizoea kuwapiga piga walikua. Wakimuona wanamfuata mpaka madrasa wanakaa Nje wanasubiri atoke waanze tena kumzomea mpaka mwalimalihis kuna kaushirikina flan

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha! Ndo kawaida ya hawa wadudu, kuna mmoja alikuwa mgonjwa bahati mbaya alikufa, nilimchukua mwenzao aliyefariki nikaenda kumzika, kumbe walishuhudia nilivyomzika yule mwenzao aliyefariki, kimbembe kikaanzia hapo, kesho yake wakaanza kunishambulia kichwani na miguu yao nikagundua wana tabia ya kukariri, tokea hapo nikawa makini nao kila nikitoka nawatazama wako kwenye mkao hivyo hivyo hadi wakashindwa kunishambulia!!!

Kunguru nao wana tabia zao pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…