Ya kufunga mwaka

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Mwalimu:Jinsi gani ya kufanya maji yawe masafi?
Mwanafunzi:unaenda kuyachukua mtoni halafu unayafua.
​
 
Kiasi chake, siyo mbaya lakini si ya kufunga mwaka.
 
jana ukaleta thread iliyojaa ushalobalo nikategemea utajirekebisha leo tena umekuja na uhalo mwingine!!!!!! Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hili jukwaa la jokes au umenunua computer mpya unaifanyia test mana kila mtu akipost unajibu onsport as if huna kazi nyingine za kufanya! Soma na thread za wenzio sio unatoa mimacho kwenye post zako tu, mkatauharishia jana na nguruwe wenu ngoja nione leo mtatoka na gia gani! Usijisumbue kunijibu maana sina mda wa kupoteza kujibizana na teja!
 
kijana tumia barua kuleta malalamiko yako
 
kwiikwiiikwiiii hahaaahahaaaaaahaaaa!!!! baada ya kupakwa vaseline na mganga au kabla hajapakwa ndo anakuwa mtabiri kwiikwiikwiiiiii
teh teh watu wanapenda vyeo,hutawaweza
 
Hahahahaha!ousofia...wozasukulumezaabantubatini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…