Ya Kitwanga yanafanana na ya Makonda

Ya Kitwanga yanafanana na ya Makonda

wamfukuze kwa ile kashfa ya kupewa viwanja kigamboni kimagumashi basi
Tatizo kila mbinu wanayotaka watawala waitumie kumuondoa bashite nae anasema atatoa Siri za baba. Na kawaida ya bashite n baba yake huwa wanaelezana mambo mengi. Na bashite itakuwa amemrecord baba yake.na baba anaogopa kuumbuliwa.
 
Wakuu mnaona shida ipo wapi?
Kwanini Magufuli aliweza kumfuta kazi Rafiki yake wa siku nyingi, sasa anashindwa huyu aliyekutana naye huku mjini juzijuzi tu?
Kitwanga hakumfukuza, alimtoa ili kupoza mjadala wa ile kashfa. Mengi yangejulikana kama asingemtoa. Alitolewa kimkakati. Ya Bashite imekaa vibaya sana.
 
Tatizo kila mbinu wanayotaka watawala waitumie kumuondoa bashite nae anasema atatoa Siri za baba. Na kawaida ya bashite n baba yake huwa wanaelezana mambo mengi. Na bashite itakuwa amemrecord baba yake.na baba anaogopa kuumbuliwa.
duh! ndo maana sizonje Ana say. ama keeping kila shwetan na mbuyu wake
 
Kitwanga hakumfukuza, alimtoa ili kupoza mjadala wa ile kashfa. Mengi yangejulikana kama asingemtoa. Alitolewa kimkakati. Ya Bashite imekaa vibaya sana.
Wenye akili tunajua. Lakini je utoto huu utajirudia Tena kwa bashite?
 
Back
Top Bottom