uzuri ni kwamba sisi watu wa asrachuggah tukiamua limoja tumeamua,,, memberz of ccm ni wachache sana,,, kwahiyo kutokea mapigano baina ya ccm na chadema, probability ni ndogo sana,,,ila, polisi wakianza kuleta vurugu zao,, hapo ndipo yatatokea maafa,,, vita baina ya polisi na wana wa chadema,,,, nawaasa polisi mkoani arusha,, katika uchaguzi huo wa madiwani, wasitumike kwa namna yoyote ile na ccm, maana itakua balaa,, vitaa yake haitosahaulika kamwe