Dah...hayo madongo hakika jamaa wameamua kuingia vitani rasmi.
Nina miaka mingi sijaisikiliza hii radio, Leo nilitaka kusikia reaction yao baada ya msimamo wa Sizonje. Hadi nyimbo za akina kigeugeu ndani, naona nayo Sasa wanadai vyeti.
Nasikia kuna kitu alikiongea kibonde last week nasubiri nimsikie Leo ataongea nini...