niaje wakuu? leo nawaletea haka ka software kapo interesting kwa maswala ya security. ni kasoftware kadogo2 kanachofanya kazi ya kuprotect laptop yako kwakuilock screen. kwa wakuu wenye android phones au iphone watakua wanaifaham hii kitu (pattern screen lock) so hii ni pc version yake. enjoy!