Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Mara nyingi tumekutana na watu wanaume kwa wanawake waliojipamba kupitiliza utakuta kijana wa kiume kanyoa kiajabuajabu halafu kaweka rangi hizo nywele halafu katoboa masikio kavaa hereni shingoni kaning'iniza mikufu kibao (feki)mikononi kavaa mapete kibao na vitu vya ajabu ajabu shati au fulana yake ni rangi kali viatu au sandals navyo mmh halafu anakitambaa kikuubwa mkononi na masimu matatu ya kichina na kibegi mgongoni
Watu wa namna hiyo wana upungufu fulani mwilini hivyo hufidia upungufu huo kwa kujipamba kupita kiasi
Hata wanawake Wapo wa jinsi hiyo sikio moja matundu manne bado puani juu ya jicho chini ya Mdomo kitovuni na wengine mpaka kwenye kissme, bado mishanga kibao kiunoni na miguuni
Mwangalie Ben kinyaiya na salama jabir utanielewa