K Kilityme JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 218 Reaction score 575 Apr 1, 2017 #41 Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Attachments bet hip hop awards 2009 2.mp4 bet hip hop awards 2009 2.mp4 15.5 MB · Views: 51
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,579 Reaction score 3,270 Apr 1, 2017 #42 matumbo said: Kuna rapa kutoka Xplastaz ivi karibuni alipafomu kwenye tuzo za BET ile sehemu ya freestyle battle,simpati jina..huwezi amini hawa jamaa wanafahamika nje zaidi ya bongo. Click to expand... huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau
matumbo said: Kuna rapa kutoka Xplastaz ivi karibuni alipafomu kwenye tuzo za BET ile sehemu ya freestyle battle,simpati jina..huwezi amini hawa jamaa wanafahamika nje zaidi ya bongo. Click to expand... huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Apr 1, 2017 #43 B'REAL said: huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau Click to expand... Aliyeperform BET alikuwa GSan na wakati huo Father Nelly alikuwa ameshafariki
B'REAL said: huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau Click to expand... Aliyeperform BET alikuwa GSan na wakati huo Father Nelly alikuwa ameshafariki
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,122 Reaction score 98,520 Apr 2, 2017 #44 Kilityme said: Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Click to expand... KAMA SIOGOPI MAJINI VIPI ITAKUWA SNIPER,LUGHA YA MAMA KAMA G-SAN KWA CYPHER BET USILETE DRAMA VIVA MAARIFA.
Kilityme said: Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009.... Click to expand... KAMA SIOGOPI MAJINI VIPI ITAKUWA SNIPER,LUGHA YA MAMA KAMA G-SAN KWA CYPHER BET USILETE DRAMA VIVA MAARIFA.
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 Sep 20, 2026 #45 Eti leo hii bongo fleva miaka 30 ndani ya Arusha hawa jamaa hawatajwi???
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,421 Reaction score 31,922 Sep 20, 2026 #46 MTAZAMO said: Dar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea! Click to expand... Leo nimeamini maneno haya
MTAZAMO said: Dar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea! Click to expand... Leo nimeamini maneno haya
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,475 Reaction score 138,333 Sep 20, 2026 #47 MTAZAMO said: Dar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea! Click to expand... But hashim dogo is doing good naona aliamua kujiweka pembeni na mambo ya mziki Ila bado he is the best lyricist Ova
MTAZAMO said: Dar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea! Click to expand... But hashim dogo is doing good naona aliamua kujiweka pembeni na mambo ya mziki Ila bado he is the best lyricist Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,475 Reaction score 138,333 Sep 20, 2026 #48 meningitis said: Rip father nelly Click to expand... Rip aise Nakumbuka show ya truck yao walikuwa wanaimba bamiza,ilikuwa pale jumba la sanaa sahv NMB ilikuwa noma Ova
meningitis said: Rip father nelly Click to expand... Rip aise Nakumbuka show ya truck yao walikuwa wanaimba bamiza,ilikuwa pale jumba la sanaa sahv NMB ilikuwa noma Ova