Xiaomi redmi note 4 mpya inauzwa (simu bora kupita maelezo)

hemedans

Member
May 18, 2011
68
64
Simu mpya (imeshafunguliwa kwenye box na imewashwa na kuekwa apps chache) aina ya xiaomi redmi note 4 inauzwa, simu imeletwa toka china lakini mhusika alieletewa hata smartphone hajui kutumia vizuri kwa niaba yake ameniambia nimuuzie.

Specs zake
-ram yake ni 3gb
-storage yake ni 64gb
-processor yake ni mediatek x20 yenye core 10

Kwa wasiofahamu hii simu ina specs zaidi ya tecno phantom 6 na inafanana na phantom 6 plus.

-kioo chake ni full Hd ukubwa inch 5.5
-ina infrared unaweza kuitumia kama remote (naweza kukusaidia kuiset)
-camera megapixel 13 inachukua video za full hd na camera ya mbele ni megapixel 5
-ina finger print scanner
-battery yake ni 4100mah inakaa na chaji siku nzima.data iwe on ucheze game utajua mwenyewe ila chaji haikati njiani.

Specs zaidi angalia hapa
Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications

Review yake gsmarena
Xiaomi Redmi Note 4 review: A hidden gem - GSMArena.com

Battery test
xiaomi-redmi-note-4.jpg

Bei yake ni shilingi 450,000 tu maongezi yapo.

hdb1ieA.jpg

KpTj6wN.jpg

Namba ya simu ya mhusika ni

0717-831594

Tatizo lolote niulize mimi hapa linalohusiana na simu maana yeye hataweza kukujibu anauza tu
 
Bonge la simu haina complication, nililetewaga na rafik yangu toka india wahuni kko wakaikwapua
 
Kama haina Chinese ROM niPM
Mkuu mimi ni mtaalam wa simu, ina chinese rom ila bands zake zinakubali tanzania na bands za 4g za tanzania utapata 2300 (smart) na 1800 (vodacom na TTCL)

Hio chinese rom huihitaji sababu ya playstore? Kwenye store yao xiaomi wana google installer inaweka seti nzima ya apps za google. Pia kuna option ya kueka international rom ikihitajika
 
Mkuu mimi niliwahi kuja na simu hiyo lakini ilivyofika hapa ikawa haikubali 3G wakati kule kwao inakubali. Sasa sijui ni kwa nini. Ila niliambiwa ile ni CDMA wakati hapa kwetu inatakiwa WCDMA.

Ila ukiipata Xioami inayokubali 3G au 4G kwa Tanzania, ni bonge la simu.

Mkuu, mia tatu vipi?
 
Unaweza kuweka international rom?
 
Unaweza kuweka international rom?
International Rom unaiwekaje? Maana ile CDMA inakubali soko la Asia lakini WCDMA ni popote yaani World wide CDMA. sasa kuna kitu unakiweka kwenye sakiti? Maana kama ni Computer ni rahisi, kwa simu niliwahi kupeleka Kariakoo wakashindwa na utundu wao wote. Pia ilidondoka ikapasua display, nikakosa spea
 
Hardware huwa ina support lakini inakuwa disabled na software. Kama alivyosema kwa xiaomi tatizo utakuwa nalo tigo 4g peke yake
 
Mkuu mimi niliwahi kuja na simu hiyo lakini ilivyofika hapa ikawa haikubali 3G wakati kule kwao inakubali. Sasa sijui ni kwa nini. Ila niliambiwa ile ni CDMA wakati hapa kwetu inatakiwa WCDMA.

Ila ukiipata Xioami inayokubali 3G au 4G kwa Tanzania, ni bonge la simu.

Mkuu, mia tatu vipi?
Ongeza ongeza mkuu hata 400 halafu mpigie natumai hatakataa
 
International Rom unaiwekaje? Maana ile CDMA inakubali soko la Asia lakini WCDMA ni popote yaani World wide CDMA. sasa kuna kitu unakiweka kwenye sakiti? Maana kama ni Computer ni rahisi, kwa simu niliwahi kupeleka Kariakoo wakashindwa na utundu wao wote. Pia ilidondoka ikapasua display, nikakosa spea
Mkuu cdma washajifia zao hawana hata standard ya 4g, sidhani kama kuna simu mpya inayotoka 2016 kupanda ikakulimit cdma pekee hizo zitakuwa za kizamani.

Hii inayo wcdma inayo gsm inayo lte kama simu nyengine utakayonunua hapa Tanzania, ila tu 4g yake haina 800mhz
 
Nifahamuvyo Xiaomi Redmi Note 4 yaweza isifanye kazi kwenye LTE band za Tanzania.. Ufafanuzi kama ifuatavyo:
Mitandao ya simu ya tanzania, vodacom, tigo, airtel, na mingineyo inafanya kazi katika bands zifuatazo: GSM - 2 bands (900 E-GSM na 1800-DCS), UMTS-1 band (2100-B1) na LTE- 1 band (800DD-B20).

Hii simu inafanya kazi katika bands zifuatazo
GSM: 900(E-GSM) na 1800 DCS
Hapa haina shida kwa Tanzania

UMTS: 2100 B1
hapa haina shida kwa tanzania

LTE:
B3(188+) inafanya kenya na uganda
B7 (2600) Inafanya Uganda

Haina B20 (800DD) ambayo ndo inafanya kwa Tanzania.
 
Mkuu ni tigo na smile pekeyake ndio wanatumia lte ya 800 voda na ttcl ni 1800 na smart ni 2300.
 
Simu mpya (imeshafunguliwa kwenye box na imewashwa na kuekwa apps chache) aina ya xiaomi redmi note 4 inauzwa, simu imeletwa toka china lakini mhusika alieletewa hata smartphone hajui kutumia vizuri kwa niaba yake ameniambia nimuuzie.

Specs zake
-ram yake ni 3gb
-storage yake ni 64gb
-processor yake ni mediatek x20 yenye core 10

Kwa wasiofahamu hii simu ina specs zaidi ya tecno phantom 6 na inafanana na phantom 6 plus.

-kioo chake ni full Hd ukubwa inch 5.5
-ina infrared unaweza kuitumia kama remote (naweza kukusaidia kuiset)
-camera megapixel 13 inachukua video za full hd na camera ya mbele ni megapixel 5
-ina finger print scanner
-battery yake ni 4100mah inakaa na chaji siku nzima.data iwe on ucheze game utajua mwenyewe ila chaji haikati njiani.

Specs zaidi angalia hapa
Xiaomi Redmi Note 4 - Full phone specifications

Review yake gsmarena
Xiaomi Redmi Note 4 review: A hidden gem - GSMArena.com

Battery test
xiaomi-redmi-note-4.jpg

Bei yake ni shilingi 450,000 tu maongezi yapo.

hdb1ieA.jpg

KpTj6wN.jpg

Namba ya simu ya mhusika ni

0717-831594

Tatizo lolote niulize mimi hapa linalohusiana na simu maana yeye hataweza kukujibu anauza tu
hyoo ni mbovu sababu imepita maelezo ya shirika la viwango Tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom