malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Habar wakuu natumia sim ya Redmi ila sioni sehemu autorotate maaana sim inasumbuasumbua inajirotate rotate Kila mda ..inanifanya kutokua comfortable namatumizi nayo
Simu nzuri zenye software mbovu, nakushauri nunua samsung hiyo mgawie mwanafamilia asie na simu Reuben ChalleHabar wakuu natumia sim ya Redmi ila sioni sehemu autorotate maaana sim inasumbuasumbua inajirotate rotate Kila mda ..inanifanya kutokua comfortable namatumizi nayo
Auto rotate always ipo kwenye control centre. Kwenye Xiaomi inaitwa Lock orientation
Ukiwasha lock orientation maana yake simu yako haita auto rotate. Ukiizima maana yake simu yako ita auto-rotate yaani simply iko hivi
Kama unataka kuzima auto rotate maana yake unapaswa kuiwasha hiyo Lock orientation, then automatically tu hiyo auto rotate inazimwa
Swipe kutoka juu kulia then itatokea hii control centre. Angalia neno Lock orientation View attachment 2660465
Kama unataka kuzima hiyo auto rotate then washa hiyo lock orientation. Tatizo linakuwa limekwisha
Kama usipoiona lock orientation kwenye control centre basi niambie nikuelekeze kwa kuipata.
But kama ukiiona nenda ukaiwashe hiyo lock orientation then ulete mrejesho
Soma vizuri nilichokiandika mkuu Nimeongelea lock orientation sio lock screen. Rudia upya kusoma nilichoandika. Nimekosea hiyo picha tu ila akifuata maelezo nipo sahihi. Asante kwa kunirekebishaMkuu lock screen na Lock Orientation ni feature mbili tofauti mkuu. So shida yake ipo kwenye lock orientation na sio lock screen.
Basi ondoa hiyo screenshot yako imeondoa maana nzima ya ulichoandika.Soma vizuri nilichokiandika mkuu Nimeongelea lock orientation sio lock screen. Rudia upya kusoma nilichoandika
Sawa umeandika lock orientation lakini ume attach picha ya lockscreenSoma vizuri nilichokiandika mkuu Nimeongelea lock orientation sio lock screen. Rudia upya kusoma nilichoandika
Yeah nimekosea screenshotSawa umeandika lock orientation lakini ume attach picha ya lockscreen
Sawa mkuu nimeondoa. Akisoma maelezo yangu na kuangalia screenshot yako basi ataelewaBasi ondoa hiyo screenshot yako imeondoa maana nzima ya ulichoandika.
Mkuu nimekupim angaliaBila shaka uliiagiza mtandaoni