Xenophobia Haitaisha

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,476
41,872
Kwa yale yanayoendelea South Africa hakuna namna ya kuyamaliza kabisa maana Inaonesha kabisa system na mamlaka zao zinasupport kabisa hili jambo ila wakija huku mitandaoni wanaonesha kama wanajali.. Mfano hii picha hapa chini huyu Polisi anacheka wakati kuna mwafrika amechomwa motoo anateseka to death sasa polisi wanaolinda amani tu wanafurahia haya yanayoendelea japo naona hawajareport tena sio kwamba Xenophobia imeisha ila Itakayofata sasa itakuwa Funga kazi.

Solution ni wageni waondoke waanchia wasouth nchi yao na Kwenye Nchi zetu hawa takataka wa South wasepe waende kwenye Nchi yao maana wameamua kujitenga hatuna haja ya kuwabembeleza maskini wa kutupwa wale..
20190909_073650.jpeg
 
Back
Top Bottom