Xbox anybody?

Wamarekani ndo wenye pesa, ukibeba mabox siku tatu tayari una uwezo wa kununua Xbox na huyo ni mtu wa chini kabisa.
 
Unacho kinena hakikosawa

Ps ni habari nyingine
Mkuu umewahi kuown system zote mbili? PS inaishika masikio Xbox sababu ya utofauti wa bei na sivinginevyo. Juzi juzi PS kwa mara ya kwanza imeweza kuiondoa kileleni Xbox kwa mauzo.
 
Mkuu umewahi kuown system zote mbili? PS inaishika masikio Xbox sababu ya utofauti wa bei na sivinginevyo. Juzi juzi PS kwa mara ya kwanza imeweza kuiondoa kileleni Xbox kwa mauzo.

trully sija i review vizuri lakini nina ikubali sana ps
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…