Xbox anybody?

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
wakuu nipo arusha na ningetaka kufahamiana na washikaji wenye Xbox 360 huku for support, trades and so on
 
braza C6 naona ile thread imefungwa, so bora niendelee kukupa ushawishi wa kuvuta Xbox kwa huku





 
Last edited by a moderator:
Mimi nahitaji adapter/charger ya xbox 360 yenye vichwa viwili, mwenye nayo tufanye buzness..
 
Mimi nahitaji adapter/charger ya xbox 360 yenye vichwa viwili, mwenye nayo tufanye buzness..

vichwa viwili kivip kaka? hebu google jasper xbox, xenon xbox na falcon xbox uangalie ipi inafanania ya kwako ili tuone jinsi ya kukusaidia
 
leh na Young Master naona mnataka kuniletea bangi, sasa mnataka ninunue xbox na ps? Hebu kila mtu anipe ushwaishi kwa nini ninunue kifaa kimoja wapo
 
Last edited by a moderator:
Kweli kipenda roho hula nyama.mbichi! Xbox??
 
Last edited by a moderator:
Xbox ni mbaya kuliko PS2 ila Xbox 360 iko sawa na PS3. kila moja ina pros na cons zake, ila mi kinachonivutia kwa Xbox ni urahisi wa kumodify na kuweza kupata games zake. ingekuwa PS3 ni rahisi kuwa chipped kama Xbox na games zake hewani hewani kama za Xbox, then for sure ningetafutana nayo. coz siku zote mi mpenzi zaidi wa Sony. ila ukitafuta hata e-bay, upatikanaji wa phat PS3 ambayo in 3.55 FW ni ngumu sana kupata na walizonazo wanauza kama dhahabu maana Sony walivyogundua kuwa 3.55 inakuwa chipped, walitoa model mpya (slim) na FW ambayo haijawa jailbroken mpaka leo. Xbox ukiingia dukani leo ukachukua mpya unarudi nyumbani, flash DVD na unaanza kupiga copy za games. ukitaka usitumie DVD una JTAG/ RGH hiyo mashine na kwishney biashara ya DVD games. kaka Young Master, kama bado hujashawishika nitafute nikuonyeshe NFS Most Wanted (2012) ambayo nilipata kwa 4,500 (buku tatu ya DVD DL empty na 1,500 ya wajanja night siku tatu). umeme ukirudi nitakuwekea screenshots ili uvutike kabisa 😀. braza C6 achana na mambo ya PS3 kabisa. utapata shida kupata games. ila ukivuta kitu Xbox, utanikuta na games kama 20 ni wewe tu na DVD DL za kutosha
 
Last edited by a moderator:

mkuu leh una ushawishi wa nguvu. Hadi mimi nimeshawishika,ngoja nianze kujichangachanga...
 
Last edited by a moderator:
braza dy/dx nilifanya utafiti wa kufa mtu kabla ya kuvuta hii kitu yangu. na mpaka hapa nilipo, nachojutia tu ni kuwa sina 60" LED TV :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
 
Last edited by a moderator:
C6 na Young Master, angalieni hii list ya mshikaji ameweka direct links ya xbox 360 isos [link]http://www.xbox360iso.com/pl-ryu-ote-t561248.html?t=561248[/link] games zaidi ya 200!!!! ukinunua premium ya mwezi (kama 6$) na uwe na net ya uhakika kama ya pale chuo mida ya asubuhi, utakuwa unashusha 2MB/s. do the maths.. 2MB/s= around 7.2 GB per hour (roughly size ya game moja). mnahitaji ushawishi zaidi kweli??
 
Last edited by a moderator:

Dah!!! Naona unaanza kunishawishi mkuu. Na vipi kuhusu Xbox One na PS4? Una maoni gani kuhusu hilo?
 
mkuu YoungMaster, kaa mbali na Xbox One for the time being mpaka tuone vp vp maana kuna rumors za always online (huwezi cheza bila kuwa online) na ya kutisha zaidi ni kwamba labda tofauti na nchi 21 ambazo Xbox One itakuwa launched itakuwa unsupported for other places. PS4 naona ndo itakuwa my next console. hata hivyo soko kubwa ya Xbox huwa ni marekani
 
Last edited by a moderator:

I see...basi ntatafta xbox 360 for thw time beig wakati nasubiri ps4. so model ipi ya Xbox 360 ni nzuri maana naona model kibao kibao za xbox 360.
 
hahaha utatisha sana mkuu leh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…