Xbox 360 ipo sokoni

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932




Nauza Xbox 360 yenye cables zake zote pamoja na cd za michezo zifuatazo hapa chini:



  1. Bad Company (rated 16+)
  2. Counter Strike (R16+)
  3. Call Duty; Modern Warfare 2 (R 18)
  4. Tom Clancy's Hawx (R 12+)
  5. Operation Flashpoint: Dragon Rising (R 18)
  6. Brothers in Arms:Hell's Highway (R 18+)
  7. Battlefield: Bad Company 2 (R 16)
  8. Indiana Jones (R 12)
  9. Kungfu Panda (R 12)

Naweza kukupatia pia michezo unayoipenda zaidi ya hiyo niliyoweka hapo juu.

Kama unahitaji nitumie PM huko tutaelewana bei.
 
Nilisahau kusema kuwa inakuja pamoja na controller zake 2 (wireless).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…