Tena akisajiriwa akiwa kinda akielekea Liverpool leo nae mzee anafundisha Madrid..Duuuu tunazeeka wakuu juzi tu alikuwa anakiwasha
Kwanini?Kwahio Barca ya Hansflick sidhani kama anaweza kutamba hapo laliga!
since madrid hakuna pedri? Basi jawabu unaloKwahio Barca ya Hansflick sidhani kama anaweza kutamba hapo laliga!
Walau msimu wake wa pili anaweza kutengeneza chemistry ya kueleweka ya team!Kwanini?
Aka azirudi nyuma mkuuDuuuu tunazeeka wakuu juzi tu alikuwa anakiwasha
Junior hampendi Mbappe na Belgham na hampendi Mpape na JuniorBora aisee ataleta telents mpya pale hasa mabeki na viungo