x2-01 inafaa kwa hili??

Mh haiwezi.samsng nyingi za feature phones zinaweza lkn co noki s40 au s30 labda s60
 
kwenye nokia 2710 itafanya kazi?

hyo netqin antivis inaindia kwenye simu znazo tumia symbian ktk nokia. Mfano nokia n series kama n 73, n80. Na nyngne pia ktka nokia E seres. Pia kuna nokia 6120 classic nayo inakubali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom