X wa mke anadai mimba ni yake!

X wa mke anadai mimba ni yake!

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,374
Tufupisha stori ni hivi...
Mke ni mama kijacho...
Kwa muda mrefu nimekua nikimuona mke akiwa busy sana na simu na wakati mwingine kukosa raha mara anapomaliza kuongea na mtu nisiyemfahamu kwa simu. Kutokana na uwezo wangu mkubwa wa intelligensia niliojifunza wakati wa vita vya kumng'oa Nduli na Fashisti IDDI AMINI..Nimepekua kwa siri sana simu ya mke wangu na kukuta majibizano ya mda mrefu kati ya X na mke... huku X akidai hyo mimba ni yake. Kwa hasira niliyonayo nimepata desicion ya haraka ambayo mwisho wa siku nahisi haitauwa na mwisho mzuri. Mdau ungekuwa ni ww ungefanyaje?
 
Basi mke atakuwa anachepuka ndiyo maana x anahisi mimba yake watakuwa wamekutana siku za karibuni
 
".....Kwa hasira niliyonayo nimepata desicion ya haraka ambayo mwisho wa siku nahisi haitauwa na mwisho mzuri."

Decision gani hiyo uliyoipata..hebu tuanzie hapo kwanza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo sio swali. Kwani weye ulikuwa bikra? Kwa nini umkosoe mwenzako kwa kitu ulichokuwa unakifanya?? Utakuta kama ingelikuwa kila uliyeingia kwake angekukata slesi leo ingalikuwa imeshaisha hiyo bobit. Sasa unajitutumua kwa sababu tu yeye kwa siku moja tu nje alipata uja uzito, Ndo umemshikia bango??
 
Haya mambo ni mazuri kuyasikia kwa watu wengine yakikukuta utatafuta pa kujificha.

Cairo's
 
1
Hilo sio swali. Kwani weye ulikuwa bikra? Kwa nini umkosoe mwenzako kwa kitu ulichokuwa unakifanya?? Utakuta kama ingelikuwa kila uliyeingia kwake angekukata slesi leo ingalikuwa imeshaisha hiyo bobit. Sasa unajitutumua kwa sababu tu yeye kwa siku moja tu nje alipata uja uzito, Ndo umemshikia bango??
hayajakukuta mkuu
 
kama una ujasiri achana naye lasivyo jikaze songa
 
Usichoshe kichwa sana ni umue unamuacha ua unasamehe na kusema kitanda akizai haramu
Ukijifanya unajua kukasirika utaenda jela na utamu utatuachia uku nje
pole sana
 
Huyo mwanamke kafanya mapenzi na mwanaume mwingine na tayari upo nae wewe,jiongeze hapo sepa endelea na mambo mengine tu huyo hakufai
 
Tufupisha stori ni hivi...
Mke ni mama kijacho...
Kwa muda mrefu nimekua nikimuona mke akiwa busy sana na simu na wakati mwingine kukosa raha mara anapomaliza kuongea na mtu nisiyemfahamu kwa simu. Kutokana na uwezo wangu mkubwa wa intelligensia niliojifunza wakati wa vita vya kumng'oa Nduli na Fashisti IDDI AMINI..Nimepekua kwa siri sana simu ya mke wangu na kukuta majibizano ya mda mrefu kati ya X na mke... huku X akidai hyo mimba ni yake. Kwa hasira niliyonayo nimepata desicion ya haraka ambayo mwisho wa siku nahisi haitauwa na mwisho mzuri. Mdau ungekuwa ni ww ungefanyaje?
ningempigia huyo x wa mke wangu na kuanza kubishania kuwa ile mimba ni yangu na kama haamini tubet tuone mtoto akija kuzaliwa kafanana na nani?

sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
"Heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi"

huu ni moja ya misemo ya wahenga watu hawaitilii maanani sana. Ni kwamba bora uachane naye kuliko ukaanza kumfuatilia mwisho wa siku akija kujifungua ukaumia zaidi. Huyo tayari keshaonyesha uaminifi sifuri. Mimi ningepiga chini akaendelee na huyo X wake ili kama siyo kweli limuangukie huyo huyo anaeng'ang'ania.

leta ufala nilete upuruzi. Nitapambana
 
Usiwe na maamuzi ya pupa kama ya supika na waNEC. Ngoja mtoto azaliwe ili uweze kuwa na uhakika kama kiumbe ni chako au cha mwanaume mwenzio... Baada ya hapo rudi tukupe ushauri zaidi...
 
SIKUSHAURI UACHANE NAYE ,, EVERYONE DESERVE THE SECONDE CHANCE !!.

wat if ukimuacha namimba niyako ?? .alafu kiukweli unasema X wa mke yaaaan inamaaana Huyo mwanamke wako umemuona mwezi mmoja baada yakukutana naye ?????? Nimkeo wandoa au ulifanya " njoo tuishi " ????? Nakama niwandoa inamaana we ulivokutana naye mpaka unamuona ulikua nindan ya mwezi mmoja ???????? Nakam nihapana , inamaana Huyo mwanamke alikua alikua anakusaliti ???? .

Haingii akilin mwanamke ulikua naye Kwa uchumba mpaka ukamuoa Leo hii ,,mmeishi amepata mimba Leo hii useme ni X wake ,,,,,,, Sema mkeo alikua anachepuka kama kawaida kwaiyo sio X sema ni mchepuko wake nakam mimchepuko yes kuna possibility Wenda ikawa yake .

Lkn pia mchepuko Wenda anaforce mimeseji iyo kwalengo kua wewe utafaulu kuzisoma na mtagombana alafu umuache !!

Nahisi kichwa kunipasuka wakati harusi sio yangu .

Mkuu kaaa nahuyo mwanamke mzungumze .
 
Mkuu fanya maombi/dua kwa siku hata 3 muombe Mungu akupe busara za kulikabiri hilo suala kwa sababu ni zito na naamini kumshirikisha Mungu kutakuwezesha kufanya maamuzi sahihi na ambayo hutoweza kuyajutia baadae.
 
Hukuoa ili niteseke.
Hukuolea mtu mwingine.
Hata zamani michepuko ilikuwepo lakini mpaka mtu ajue kuwa yeye Ndio katia mimba ilikuwa haiwezekani Ndio Maana dingi mwenye nyumba alikubali kuwa mtoto ni wake.
Siku hizi mwanamke anachepuka akipata mimba anamwambia jamaa Nina mimba yako na mtaa mzima unajua.
Fujo Ndio zinaanzia hapo. Kila Mara matatizo.
Mimi unaondoka aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom