x-ray yamchanganya bibi kizee

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,692
Reaction score
59,195
Bibi kizee baada ya kuwa anasumbuliwa na Ugonjwa ikabidi apelekwe dar es salaam kwa Uchunguzi wa moyo. baada ya kumpiga x-ray ya moyo,doctor akamwambia;
bibi tumekuta moyo wako umetoboka katikati na pande zote mbili za moyo zimevimba.
Bibi kizee akashituka sana. akasema;
"kheee...!! nyie watoto angalia msiwe mumenipiga hicho kisero(x-ray) chenu kwenye makalio yangu". Mia
 
E bwana labda bibi alikuwa sahihi ebu warudie bana.
 
hihihihihiiihihiiihihii...
 
Bb nae hajelew ukbwa wa myo c sawa hata na kalio 1. Uzee huoo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…