antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,171
- 133,626
Hivi unawajua vizuri madada (aka mashangazi) wa mjini wewe?Yupo kwenye 35,hajabadilika kweli!?.. maana juzi nimeona maimartha Jesse kumbe kaolewa,kama mai kaolewa kweli huyu hawezi change!?.. nasikia wanakuwaga wamenyooka,full heshima na mahaba
Dah,Ilibaki hivi tu 🤌 nizame pm kwako nikidhani ni mrimbwende according na avatar uliyoweka.!!!
Sitetei fisadi,nipo kwa maslahi mapana ya nchi,ukikua utanielewaDah,
Mi nimeshangaa pia mkuu.
Mie kilichookoa jahazi ni pale nilipoona kwenye mijadala ya SIASA jamaa ni mtetezi lialia wa mafisadi akanichefua. Bila hivyo ningezama kitambo
Jasiri haachi asili, usijidanganyeAlikua na demand nyingi enzi za ujana,yaani hakosi fiesta, motorola ya kufunua,lakini wazungu wanadai 'over time, people change'
😁😁😁 ahaaa hapa hamna mtu atafuata ushauri wetu, huyu ataoa.Yupo kwenye 35,hajabadilika kweli!?.. maana juzi nimeona maimartha Jesse kumbe kaolewa,kama mai kaolewa kweli huyu hawezi change!?.. nasikia wanakuwaga wamenyooka,full heshima na mahaba
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ilibaki hivi tu 🤌 nizame pm kwako nikidhani ni mrimbwende according na avatar uliyoweka.!!!
Anyways pole sana kwa kumpoteza wife mkuu.
Ukimchunguza Bata haumliWakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba
Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa
Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua na mahusiano tofauti mengi tu,sasa nadhani kachoka kuishi peke yake,ananisihi tufunge ndoa,tulete na ngulu mbili kama watatu hivi ndani ya miaka kumi ijayo
Kinachonikwaza ni kinyaa,idadi ya wamba walioshindilia mitarimbo kwenye tundu lake takatifu, tofauti na hapo najua hakuna hatari yoyote kwa wanangu, ukizingatia roho mbaya za wanawake kwa watoto wa kufikia..na kulala peke yangu nimechoka
Kwa nini mkuu?Mkuu nakuona na wewe utakufa mapema sana mkuu
Kwa hiyo nivunje tu mifupa ningali na menoUkimchunguza Bata haumli
Tena kimbia haraka upweke ni kitu kibaya sanaKwa hiyo nivunje tu mifupa ningali na meno