X akikujibu hivi anakua na maana gani?

Ina maana tafute mwingine wa kuwa nae. Kumbuka x wako hatobadilika kuwa tofauti na pale mlipoachana. Kila uhusiano ukivunjika kumbuka kuna sababu ulivunjika na usitarajie mabadiliko baina yenu ilhali nyie ni wale wale
 
wakuu,mfano uko unamsaundisha x wako mrudiane alafu yeye anakujibu kwamba hajui kama bado anakupenda au Lah?
anakua na maana gani?
Mwanangu katika Mapenzi watu waume kwa wake wanafanya makosa makubwa sana pale mnapoachana halafu mnakuja kurudiana
Mwanangu Duniani wapo wanawake/wanaume wenye sifa nzuri na kila unalohitaji wewe
Mwanangu ukiachana na Mwanamke Halafu Mkarudiana unakaribisha Dharau Ndani ya penzi na ni jambo ambalo Halitakiwi ili Penzi Limee
Mwanangu kila mwanamke unayekutana naye katika Maisha yako ni Funzo sasa jaribu kujifunza kwa Makosa uliyoyafanya Ukiwa Naye na utulie utafute mwingine utakayeridhika naye halafu uishi naye na kutokurudia Makosa ya Awali
Mwishowe Mwanangu Usirudie Matapishi na Mimi Nakutakia Bahati Njema
 
huyo anamaanisha anakupenda ila upendo sio kama wa mwanzo!!!
hivyo unatakiwa umuaminishe kwa yale yaliyosababisha kuachana utajirekebishaje ili akupende kama mwanzo!!!!
 
Mwanangu katika Mapenzi watu waume kwa wake wanafanya makosa makubwa sana pale mnapoachana halafu mnakuja kurudiana
Mwanangu Duniani wapo wanawake/wanaume wenye sifa nzuri na kila unalohitaji wewe
Mwanangu ukiachana na Mwanamke Halafu Mkarudiana unakaribisha Dharau Ndani ya penzi na ni jambo ambalo Halitakiwi ili Penzi Limee
Mwanangu kila mwanamke unayekutana naye katika Maisha yako ni Funzo sasa jaribu kujifunza kwa Makosa uliyoyafanya Ukiwa Naye na utulie utafute mwingine utakayeridhika naye halafu uishi naye na kutokurudia Makosa ya Awali
Mwishowe Mwanangu Usirudie Matapishi na Mimi Nakutakia Bahati Njema
acha uongo
 
Back
Top Bottom