Pinda anainadi tovuti hiyo!jiulize gharama iliyotumika ku develop web site hiyo utalia!jee serikali ingetumia nguvu hizo kuinadi mlima kilimanjaro kuingia ktk maajabu 7 ya dunia ingekua na tija kuliko haya maadhimisho ambayo mpaka leo mtwara lindi hakuna huduma ya maji!