www.marafiki.com

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
Wakuu,

Kuna hii website iliyojulikana sana miaka ya nyuma, hasa kwa mateenagers. Enzi hizo bado nipo sekondary, nakumbuka, mtu uliweza kuingia kirahisi kwa kucreate tu username halafu ukajiunga na chat rooms. Kichekesho ilikuwa ni ile interface ya kukuwezesha kubadili ID faster na kuanza kuchat na mtu yuleyule kwa PMs (sisi tulikuwa tunaita chamber) halafu unashangaa anaanza kukupa details na info tofauti kabisa na alivyosema mwanzo kuhusu yeye.

Nilijitengenezea marafiki wengi sana, na nahisi wengi wamehamia JF. Kulikuwa na IDs maarufu (mfano Nduka Original, VANessa, etc.,) kama ilivyo JF. Wenye hizo IDs hata ungelog in saa ngapi, lazima ungewakuta chat room.

Hivi nani anawafahamu wamiliki wa marafiki.com ili nione kama nakutana nao tuirudishe katika level iliyokuwa nayo hapo awali. Kama vipi niongee nao ili niwanunulie hiyo domain + servers na facilities zingine, hata source code ili mie niendeleze, maana mtu unaweza kupiga fedha sana siku hizi ukiwa na infrastructure kama hiyo. Naitaka domain ya marafiki.com kwa sababu ilikuwa ni maarufu kwa hiyo ni rahisi kutake off maana najua hata hapa JF hasa MMU kuna wadau wengi walishawahi kuwa marafiki.com addicts.

Kuna yeyote mwenye fununu kwamba wamiliki wa marafiki.com ni akina nani?

NB: Nilifungua website yao, siku hizi haieleweki! Halafu nikapata email kutoka website nikawaandikia, hawajawahi kunijibu mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujawanunulia watu sever, naomba uichangie na jf just 30 thou
natumaini hata jf wapata raha pia
ahsante kwa kunielewa...
 
LifeHacker

anwani ya mmiliki ni

Mohamed Bhalloo
Computer World
Jamhuri Riddoch Motors Bld
Dar es salaam
po box 4220
TZ

Phone: +255784505050
Email: mohamed@compworld.net
 
Last edited by a moderator:
marafiki.com noma sana,.ukimpata mmiliki na mm namuomba maana nina yangu piaa
 
du naikumbuka,nilizibua mademu hapo balaa.niliotea mwalimu mmoja akawa ananiletea mzigo kila weekend napiga na garama analipa .ilikuwa tamu sana.juzi tu 2010 ilikuwa ikiwika sana
 
balaa lake mashoga walikuwa wengi pale,na walikuwa wakiingia kwa id za kujitangaza.shoga mmoja nilikuwa nikimtania nikiwa napiga kazi posta nikaona katokea pale benjamin mkapa na gari yake akataka nikampakulie upanga nikagoma nikamwambia twende magomeni.nikagoma kutoe hela ya room akatoa nikambamiza vya kutosha nikamwambia anipeleke ubungo na bia akanunua
 
Na wewe lazima utakuwa shoga kwa baadae
 
du naikumbuka,nilizibua mademu hapo balaa.niliotea mwalimu mmoja akawa ananiletea mzigo kila weekend napiga na garama analipa .ilikuwa tamu sana.juzi tu 2010 ilikuwa ikiwika sana

Ukapime sasa na si kufurahi kugegeda matatizo.
 

Kaka mpaka mapunga umekupata tigoooo???? Iziraeli atakuacha kweli????
 
watu na experience zao...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…