WWE talent salaries

Kane, mdogo wake undertaker huyu
hapana mkuu acha kutupiga chai.hana undugu wa damu na undertaker.hata mimi zamani nilikuwa najua hivyo....ni kutokana kwamba wote wanatumia character moja ya ulingoni.
 
Kuna mahali nimesema udugu wa damu?

hapana mkuu acha kutupiga chai.hana undugu wa damu na undertaker.hata mimi zamani nilikuwa najua hivyo....ni kutokana kwamba wote wanatumia character moja ya ulingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…