WWE Mkanda mpya

lol sijaelewa anayeulizwa ni nani? mkanda mkali?
 
Je mkanda wa WWE mpya na wa zamani upi mkali


Wa zamani ulikuwa mzuri sana...
Huu haona ile migold so unaonekana kama kanjanja flani hivi.

Nimeuona kaubeba the rock yaani hata haujamtoa kivile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…