Wrong ringtone

Hiyo ni kali. yaani wengine wanayo macho lakini hawaoni, wengine source ni www.Mwananchi, Jf, naija na kadhalika? Atakuja mwenye source Uswazi, Migulumbaja na hadi tukome ubishi. Haya, wote ni dugu moja. Cha msingi ni kwamba mtafaruku umetokea. Naambiwa kuna mchungaji aliyepigiwa simu inaimba nataka paja, wakati yeye ndio anasali mbele ya waumini. Wakabaki kumshangaa, naye akachanganyikiwa asijue maneno ya kutamka akalazimika kukatisha maombi.
 

Khaaa ! This is Jf
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…