Kweli tunakosea kupaki na tuko tayari kulipa kwa makosa haya, lakini hawa watu wanakuzungusha na mwisho wanapigiana simu uku na Kule.
Swali: Haya ni Mapato kwanini hawa watu wasitembee na EFD machines? Hasa kwa wale ambao wanakuwa tayari kulipa badala ya kupelekwa Yard na kutozwa fine ya wrong parking 50 000 tax na parking ndani ya yard 20 000tzs!!??
Kosa liwe na fine na watembee na machine tumalizane kosa lilipotokea sio kituongezea garama kwa kwenda yard.