twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
weka namba yake hapa
vidume vya jf vikuondolee usumbufu
Ahahahahah..wakuu wabaya nyinyi.Nikiiweka nahofia kumpotezea haki yake ya msingi kuwasiliana na watu anaowahitaji.
mkuu umewaza kama mimi.ahs sanaHapa ndio ukidhani umepata kumbe umepatikana comes to mind....
Usishangae ukianza kuhudumia soon au akija akikwambia huende kwake au mkutane ukafumaniwa au kuvamiwa na kuibiwa kila kitu in short mwisho wa hii kitu 80% itakuwa ni maumivu kwako... just use good old fashion moves za kudate people you know
ahahahahah..mkuu mtoto anabembeleza hatareee,siwezi kutoa namba yasijewakuta mabaya nami nikaingia kwenye mtego.Nipeni mbinu za kujinasua.Weka namba kaka...au umeanza kulainishwa na maneno yake kama ndizi mbivu tengani
Weka namba kaka...au umeanza kulainishwa na maneno yake kama ndizi mbivu tengani
Ahahahahah..wakuu wabaya nyinyi.Nikiiweka nahofia kumpotezea haki yake ya msingi kuwasiliana na watu anaowahitaji.
ahahahahah..mkuu mtoto anabembeleza hatareee,siwezi kutoa namba yasijewakuta mabaya nami nikaingia kwenye mtego.Nipeni mbinu za kujinasua.
Sa lazima uje upige kelele hapa kama unapendwa, wanaume wengine noma kweli :biggrin1:
We badala kumalizana naye kimya kimya, umeona uje ujisifu hapa.
FYI kuna wengi tu wanakutana na hayo, sijawaona wamekuja kupiga kelele JF.
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.Sa lazima uje upige kelele hapa kama unapendwa, wanaume wengine noma kweli :biggrin1:
We badala kumalizana naye kimya kimya, umeona uje ujisifu hapa.
FYI kuna wengi tu wanakutana na hayo, sijawaona wamekuja kupiga kelele JF.
mkuu hata mimi nimeshangaa sana seriously haya yametokea..ni maajabu lakini ni kweli.Yaani sijui nitumie intelijensia gani nimkamate huyu binti pengine kuna mchezo mchafu unataka kuchezeka.Yaani hakujui/Hamjuani alafu ndani ya siku tatu mmeshapanga hadi aje mkoa wako, ndani ya siku tatu hadi analia machozi kwa wivu? Anakusumbua hadi unazima simu? Na unadai umeshamkataza? Hivi vyote ni ndani ya siku tatu tu?
Aaaah Baba Twende kazi hapo umezidi aisee, turudishie chenji aisee