Last_Kingz
Member
- Oct 27, 2019
- 46
- 31
Wakuu msaada written ya utumishi kada ya customer service officer, TTCL maswali yanaweza kubase maeneo yapi
Basi piga kitabu kijana wangu.. si Ulicertify vyeti vyako wakati unaomba kazi..!!!Jumamosi mkuu, tarehe 14
Mlitolewa maswali yap hukoooWakuu msaada written ya utumishi kada ya customer service officer, TTCL maswali yanaweza kubase maeneo yapi
Mdau mbona hataki kusema.Mlitolewa maswali yap hukooo
Kichwa kikipoa atakuja kusema tuMdau mbona hataki kusema.