Nimejifunza mazoezi na kupangilia vyakula vinasaidia mwili kuto nenepa hovyo,Mary j Blige atatokea kwenye jarida la shape mwezi ujao wa kumi na mbili,wale wapenzi wa magazine mtamuona
Safi Mj sio wasanii wa kibongo akihit na singlemoja tu tambi hilo mara shavu hilo yani aibu,,,nyie si mnaona mtoto kwenye game kitambo lakini mambo safi