Wow!! Jeffrey Epstein is no more

Aisee sie wa huku nakapanya tunapitwa na mengi mno.
 
Ushahidi?

Mfungwa high profile kama huyo anawezaje kujiua tena baada ya kujaribu kujiua na kushindikana? kwa kawaida watu wa hivyo huwekwa kwenye ,,watch listā€ hivyo kwa hali ya kawaida isingewezekana yeye kujiua ukichukulia umaarufu wake na ukubwa wa kesi yenyewe plus alishajaribu kujiua juzi kati, ...
 

Bado hujanipa ushahidi.

Umetoa speculations zako tu.

Ushahidi tafadhali....
 
Bado hujanipa ushahidi.

Umetoa speculations zako tu.

Ushahidi tafadhali....

Sina ushahidi, ila haingii akilini mfungwa aliyejaribu kujiuwa akakutwa unconscious halafu aendelee kuachwa bila ya kuwekwa kwenye watch list, hiyo siyo kawaida.

Huyo anajua/alijua mengi sana hivyo ilikuwa ni lazima afe/ potee, Clinton’s ni paedophiles hiyo ilikuwa ni kesi kubwa sana.
 

Ahsante kwa kukubali kuwa huna ushahidi!!!!
 
Kiukweli kanishangaza. Mautajiri yote hayo. Hii kesi hata angefungwa ipo siku angetoka tu. Ila aisee msongo wa mawazo ni mbaya sana.
 
hapo ndio kwenye mzozo ambapo hata mwanasheria mkuu wa marekani anashangazwa nayo
mtu aliye kwenye watch list anajiuaje
ingawa kifo chake kinahusishwa na kina clinton kuficha skenfo zao
 
Inaonesha wengi wana amini Clintons wanahusika.

Barr kasema anahitaji uchunguzi maana mtu kama Epstein kujiua kwenye fed care si jambo lq kawqida
 
Inaonesha wengi wana amini Clintons wanahusika.

Barr kasema anahitaji uchunguzi maana mtu kama Epstein kujiua kwenye fed care si jambo lq kawqida
Trump pia anahusishwa kwenye huu msala, sema chain ni kubwa saba, kuna hadi vigogo wa Russia wanahusishwa
 
Mzimu wake bado unasumbua.
 
Itakuwa ilikuwa Ndagu kula vijitoto ili utajiri uendelee. Maana matajiri wana hela wanaweza pata mwanamke yeyote yule,why wale vijitoto?
 
Itakuwa ilikuwa Ndagu kula vijitoto ili utajiri uendelee. Maana matajiri wana hela wanaweza pata mwanamke yeyote yule,why wale vijitoto?
Ritual hizo .. lakini SS wanafanya hivyo Ili kuwa na nguvu ya kuwa control
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…