Would you say it? (Ungesema?)

Naingia home nimepaki gari,
tai nimeilegeza kuliko cku zote,
natoka kajasho kiaina..then naingia ndani
Kabla hata hajaanza kunipa pole na kunipokea...
Mimi: Duh, dunia hii inamambo jamani, tumshukuru muumba tu kwamba nimerudi salama mke wangu
yf: kwani nini tena mume wangu?
Mimi: acha tu mamii, yani watu wamefikia kiwango cha kulazimisha ili mradi tu wapate wanachotaka!!!
Yf: ckuelewi baba nanii unajua?? unamaanisha nini hapo?
mimi: wacha nikwambie mke wangu...namketisha kitako na hadithi inaanza..
Basi leo niktoka kazini, si yule Lucy, yule anayefanya pale HR third floor..si unamkumbuka?
yf: ndiyo namkumbuka. kwwani vipi?
Mimi: basi nikitoka si akaniomba nimsogezesogeze mpaka posta akapande magari ya kwao sijui temeke mikoroshini.
Basi nikaona isiwe shida, nikamwambia panda twende..
yf: enhee
Mimi: Basi tukiwa katikati katikati uko si mara akanishika shati yuataka kunibusu kwa nguvu...yani sikuamini, kule kunichekea kote siku zote ndo alichokuwa akitaka..nikapiga break ghafla palepale nkamshusha...
Yani I was so shocked kwamba bado kuna watu wenye mawazo finyu kiivyo. Yani yeye kutuvalia vimini kila siku ndo anaona tutamtamani.
duh, basi nkapitia zangu break point pale kupunguza stress bana ndo nikaja hivi.
yani we acha tu...
...Hapo je....
 
My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that 'siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
Kama unataka “maisha yaendelee kama zamani“ kwanini unabadilisha mango “zamani“ mliojiwekea ambao ni kati yenu wawili na kuongeza wa tatu?!?!Kama zamani inapotea pale unaponyoosha mikono yako kumkumbatia kimahaba ambae hauko nae kwenye hiyo zamani!!‘
 
My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that 'siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
Smiles, kwani unafanya kila cku!??
 
My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that '<strong>siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'</strong>Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
<br>Smiles, kwani unafanya kila cku!??
 
Naingia home nimepaki gari, tai nimeilegeza kuliko cku zote,natoka kajasho kiaina..then naingia ndaniKabla hata hajaanza kunipa pole na kunipokea...Mimi: Duh, dunia hii inamambo jamani, tumshukuru muumba tu kwamba nimerudi salama mke wanguyf: kwani nini tena mume wangu?Mimi: acha tu mamii, yani watu wamefikia kiwango cha kulazimisha ili mradi tu wapate wanachotaka!!!Yf: ckuelewi baba nanii unajua?? unamaanisha nini hapo?mimi: wacha nikwambie mke wangu...namketisha kitako na hadithi inaanza..Basi leo niktoka kazini, si yule Lucy, yule anayefanya pale HR third floor..si unamkumbuka?yf: ndiyo namkumbuka. kwwani vipi?Mimi: basi nikitoka si akaniomba nimsogezesogeze mpaka posta akapande magari ya kwao sijui temeke mikoroshini.Basi nikaona isiwe shida, nikamwambia panda twende..yf: enheeMimi: Basi tukiwa katikati katikati uko si mara akanishika shati yuataka kunibusu kwa nguvu...yani sikuamini, kule kunichekea kote siku zote ndo alichokuwa akitaka..nikapiga break ghafla palepale nkamshusha...Yani I was so shocked kwamba bado kuna watu wenye mawazo finyu kiivyo. Yani yeye kutuvalia vimini kila siku ndo anaona tutamtamani.duh, basi nkapitia zangu break point pale kupunguza stress bana ndo nikaja hivi. yani we acha tu......Hapo je....
Bado bado sitashawishika kuamin..
 
Kwa mfano, situation ipi ndo inafaa kusema?

Babu una maswali kama nini, lol...ukiacha situation, kila mtu anamfahamu mwenza wake na jinsi ya kukabiliana na hisia zake kwa jambo zito kama hili...pia inategemea wewe unayetaka ku-confess umefikiria nini mpaka unaona useme na baada ya hapo nini kitatokea. some secrets are meant to be secrets forever!!
wengine wakitaka kuachana wanachukulia hiyo situation kusema walicheat ili kusitisha penzi...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kama unataka “maisha yaendelee kama zamani“ kwanini unabadilisha mango “zamani“ mliojiwekea ambao ni kati yenu wawili na kuongeza wa tatu?!?!Kama zamani inapotea pale unaponyoosha mikono yako kumkumbatia kimahaba ambae hauko nae kwenye hiyo zamani!!‘
Lizzy...u and I share the same idea, hatutakiwi kubadilika na ndio maana tunatakiwa kuwa wakweli,Lakini ndugu zetu hapo juu wanasema ukweli sometimes unaharibu...kwanini mtu anafikia kufanya tofauti na ipasavyo -- mimi siwezi jua!
Smiles, kwani unafanya kila cku!??
Don't quote me wrong.... swali langu lilimaanisha -- zile moral principles zinazo tulinda tunaziacha wapi wakati tunajaribu kuficha ukweli wa maovu yetu??
 
Binafsi sisemi ila nikibambwa labda na msg ntadanganya ninavyojua,ila siwezi admit.
Na ukikuta mtu anasema ujue anasababu zake haswa kulipiza kwa mwenzie.
 
Don't quote me wrong.... swali langu lilimaanisha -- zile moral principles zinazo tulinda tunaziacha wapi wakati tunajaribu kuficha ukweli wa maovu yetu??

Ni jambo lililotokea bahati mbaya/accidentally...kuteleza kupo mamii...sasa mimi niumie afu tena nije kukuumiza na wewe? Haustahili kutendewa hivyo..wacha dhambi yangu inimalize mwenyewe tu...nitatubu!
 
Ni jambo lililotokea bahati mbaya/accidentally...kuteleza kupo mamii...sasa mimi niumie afu tena nije kukuumiza na wewe? Haustahili kutendewa hivyo..wacha dhambi yangu inimalize mwenyewe tu...nitatubu!
Hakuna bahati mbaya hapo....Wakati unafanya u were well aware of what u are doing!Na sababu itakayokufanya ukae kimya ni kwa sababu u intend to repeat the same mistake again... Typical guys!
 
Bandugum

Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:

yangu ni mafupi tu

Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it

Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha

Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa

Good Friday!
ili kuondoa soo nitaenda tena na tena ili niwe mzoefu na kamwe sitasema!!!
 
Hakuna bahati mbaya hapo....Wakati unafanya u were well aware of what u are doing!Na sababu itakayokufanya ukae kimya ni kwa sababu u intend to repeat the same mistake again... Typical guys!
Not really...mimi sitadanganya but ikitokea....
unajua wakati mtu unateleza huna much control of ur body! uamuzi unaupata kwamba usimame ama uendelee kubaki chini.
Na kumwambia mkeo ni sawa na kuvua nguo hapohapo ulipoangukia...utaonekana chizi hata kama umechafuka! We baki na nguo chafu zako, utaenda kuziosha mbele ya safari..
sijui umenipata!!??
 
Bahati mbaya hatukulelewa kukubali uhalisia na ukweli hivyo ni ngumu kuusema pia,lakini pia wengine hatusemi kwa sababu bado tunataka kuendelea kufanya!!!!
 
Not really...mimi sitadanganya but ikitokea....unajua wakati mtu unateleza huna much control of ur body! uamuzi unaupata kwamba usimame ama uendelee kubaki chini.Na kumwambia mkeo ni sawa na kuvua nguo hapohapo ulipoangukia...utaonekana chizi hata kama umechafuka! We baki na nguo chafu zako, utaenda kuziosha mbele ya safari..sijui umenipata!!??
Bado sijakupata....But I'll leave it as it is for now!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom