Would you say it? (Ungesema?)

Yeah....! Na kwa kufanya hivyo utamuwezesha yeye ajue namna ya kukuhandle....! Lakini pia kama utapata msamaha itakuwa ni ya kweli, kuliko ungenyamazia hadi anagundua mwenyewe....! Binafsi ni rahisi sana kumsamehe anayejisalimisha kuliko ninayemfukuza hadi namkata kwa juhudi zangu....! Vilevile kwa kusema, utamfanya naye ajisute na aliyowahi kutenda juu yako kama kukucheat.....! Hata hivyo kisaikologia, kusema siri zote ni kama kudelete file/folder la "siri" ubongoni mwako....! So, you will not have any place to save other secrets in the future, and thus you will find yourself being very careful....! Lakini unapotunza siri humaanisha lile folder litaendelea kuwepo, na hivyo unakuwa rahisi kutenda nyingine kwa kuwa una folder la kuhifadhia...! Please, if you can expose everything to your partner, go and do it....! Hata asipokusamehe, wewe mwenyewe utakuwa umekwisha samehewa na Mungu wako (provided ulimwambia ukimaanisha kuomba msamaha haswa, na sio kwa kumpima au kumkejeli), naye atakuja tu kujutia kutokukusamehe baadaye....! What I am saying is already proved....!

nahisi wewe ni mwanaume ndio maana ikawa rahisi kwako kusamehewa, Mwanamke nirahisi kumsamehe mwanaume ila kwa midume?mmmmm utajuta kwa nini ulisema.
 
Mnashangaza kweli...sasa hayo mapenzi mliyonayo kwa wenzenu mpaka muogope kuwaumiza na mnavyojali mahusiano/ndoa zenu mpaka muogope kuzipoteza kwa kusema ukweli kwamba umecheat kwanini msiwe nayo kabla ya kucheat na hua yanakuwa wapi wakati wa kucheat?!Na msianze na habari za ohhh kumdanganya mume/mke haina maana humpendi maana ishu nzima ya kumpenda mtu inaendana na heshima...sasa wewe kama humpendi/heshimu ntu kiasi cha kutembeza mwili anaodhani ni yeye tu anatumia kila kona ya mtaa mahusiano ya nini?!Si usiwe na mahusiano utembee na yeyote wakati wowote bila wasiwasi?!Acheni kudanganya nafsi zenu mkidhani hata Mungu nae ataingia mkenge....umefunga ndoa tulia nayo..huwezi achana nayo!!
 
mie nigeuchubua,.....ila ningebaki nayo hivyohivyo kuhakikisha mwenzangu hapati PAIN even though it means i will stay with it for the rest of my life....huu ndio upendo lol

kabisa kabisa, halafu nikujua kafanya itanisaidia nn? huyu atakuwa amedhamiria kuniumiza roho yangu, nadhani kwa mara ya kwanza nitashangaa tu namchapa kofi.
 
hivi wanaume wa kiafrica tuna cheat?????????

mimintasema nilichumbia
nilitaka kuongeza mke but now simtaki tena....

waafrica wanaume hatu cheat
period
 
Mnashangaza kweli...sasa hayo mapenzi mliyonayo kwa wenzenu mpaka muogope kuwaumiza na mnavyojali mahusiano/ndoa zenu mpaka muogope kuzipoteza kwa kusema ukweli kwamba umecheat kwanini msiwe nayo kabla ya kucheat na hua yanakuwa wapi wakati wa kucheat?!Na msianze na habari za ohhh kumdanganya mume/mke haina maana humpendi maana ishu nzima ya kumpenda mtu inaendana na heshima...sasa wewe kama humpendi/heshimu ntu kiasi cha kutembeza mwili anaodhani ni yeye tu anatumia kila kona ya mtaa mahusiano ya nini?!Si usiwe na mahusiano utembee na yeyote wakati wowote bila wasiwasi?!Acheni kudanganya nafsi zenu mkidhani hata Mungu nae ataingia mkenge....umefunga ndoa tulia nayo..huwezi achana nayo!!

Lizzy swala hapa ni hakuna kucheat mme mmoja mke mmoja basi
maana ukianza kucheat ndo matokeo ya kuogopa kusema yaliyomo moyoni kwa vile unajua ni kosa na linaweza kuletea mpasuko wa mahusiano.
 
Nyie watu wa jinsia ya kiume....wanachama hai na wafu;

Hebu acheni masihara!

Wife aje akuambie amemegwa na babu yenu mimi, kutakuwa na ndoa tena?

Ili ndoa zidumu lazima SIRI Ti iwepo bana.... Mi wife akinambia katoka kumegwa, nambwenga makwenzi na ndo unakuwa mwisho wa yeye kuitwa mama matesha wa babu...kudadadeki zake............. SIRI ndo mpango mzima!
 
Lizzy swala hapa ni hakuna kucheat mme mmoja mke mmoja basi
maana ukianza kucheat ndo matokeo ya kuogopa kusema yaliyomo moyoni kwa vile unajua ni kosa na linaweza kuletea mpasuko wa mahusiano.

Hapo ndipo unapokosea...

Mwanaume huwa ha-cheat bali huwa anadumisha mila.
Anayecheat ni mwanamke.

Mpango mzima: Mke Mmoja kwa Mme Mmoja.........Mme mmoja kwa Mke Mmoja na wasasaidizi wake.
 
Lizzy swala hapa ni hakuna kucheat mme mmoja mke mmoja basi maana ukianza kucheat ndo matokeo ya kuogopa kusema yaliyomo moyoni kwa vile unajua ni kosa na linaweza kuletea mpasuko wa mahusiano.
Mama wa kwanza hilo hawalitaki...wanataka kucheat ili wajisikie sifa!
 
Hapo ndipo unapokosea...Mwanaume huwa ha-cheat bali huwa anadumisha mila.Anayecheat ni mwanamke.Mpango mzima: Mke Mmoja kwa Mme Mmoja.........Mme mmoja kwa Mke Mmoja na wasasaidizi wake.
GROANn!!!
Hapo ndipo unapokosea...Mwanaume huwa ha-cheat bali huwa anadumisha mila.Anayecheat ni mwanamke.Mpango mzima: Mke Mmoja kwa Mme Mmoja.........Mme mmoja kwa Mke Mmoja na wasasaidizi wake.
GROANn!!!
 
Hapo ndipo unapokosea...

Mwanaume huwa ha-cheat bali huwa anadumisha mila.
Anayecheat ni mwanamke.

Mpango mzima: Mke Mmoja kwa Mme Mmoja.........Mme mmoja kwa Mke Mmoja na wasasaidizi wake.

ha ha ha Asprin hivi mwanaume anatumia damu na mwanamke maji?
Hivi mwanamme ana moyo wa chuma na mwanamke wa Plastic? teh
 
Mama wa kwanza hilo hawalitaki...wanataka kucheat ili wajisikie sifa!

Hebu angalia huu mlolongo:
Lizzy: darling samahani
Ancheche: Sema mke wangu
L: Najua ntakuudhi lakini naomba nisamehe, nalazimika kukuambia
A: Sema tu mke wangu, nini kimekusibu
L: Samahani mume wangu, jana nlikucheat
A: Kwa mshtuko eh? Eti?
L; Nlikucheat mume wangu, shetani alinipitia, nisamehe

Hapo Ancheche atatafakari....atafikiria maraha unayompa, vilio unavyovitoa, maromansi unayompa, unavyomnyonya chuchu, mb**,unavyompapasa sijui na mavitu gani mnayoyafanyaga....atavuta pumzi kidogo, mahasira kibao then anapiga moyo konde:
Ancheche: Enhee ulicheat na nani, na ilikuwaje mpaka ukanicheat
Lizzy: Na Asprin (Ukute Ancheche na Asprin wanafahamiana)................hutamaliza kumsimulia wallah.

Niape?
 
ha ha ha Asprin hivi mwanaume anatumia damu na mwanamke maji?
Hivi mwanamme ana moyo wa chuma na mwanamke wa Plastic? teh

Nenda hata kayaulize mabeberu na majogoo, yanaujua ukweli huu kwakuwa mitetea na mambuzi jike yameridhia kuwa: Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja, bali mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja.

Na hili ndilo neno la MILA!
 
Hebu angalia huu mlolongo:Lizzy: darling samahaniAncheche: Sema mke wanguL: Najua ntakuudhi lakini naomba nisamehe, nalazimika kukuambiaA: Sema tu mke wangu, nini kimekusibuL: Samahani mume wangu, jana nlikucheatA: Kwa mshtuko eh? Eti?L; Nlikucheat mume wangu, shetani alinipitia, nisameheHapo Ancheche atatafakari....atafikiria maraha unayompa, vilio unavyovitoa, maromansi unayompa, unavyomnyonya chuchu, mb**,unavyompapasa sijui na mavitu gani mnayoyafanyaga....atavuta pumzi kidogo, mahasira kibao then anapiga moyo konde:Ancheche: Enhee ulicheat na nani, na ilikuwaje mpaka ukanicheatLizzy: Na Asprin (Ukute Ancheche na Asprin wanafahamiana)................hutamaliza kumsimulia wallah.Niape?
Kwahiyo hizo hisia ulizo nazo wewe kuhusu mambo yenu ya faragha yeye ndo hana!!?Kwa mwanamke ni poa tu akifikiria unayofanya kwake jioni uliyafanya kwa Suzii mchana na kesho utamfanyia Mwanaidi?!Kueni na mioyo ya huruma....yote yanayowaumiza nyie yanawaumiza wanawake pia...hamna alieumbwa kutendewa vituko!
 
Katika mambo magumu ni pamoja na hilo mkuu,kama mtu kuhisi tu uko na flani ni balaa kubwa ije kuwa leo unampa uhakika wa umafia wako??Sawa unaweza kusamehewa lakini bwana majeraha ya hivi huwa hayatoki kabisa yanaacha makovu makubwa kwenye uhusiano na kupunguza vitu flani.So vizuri kutofanya hii kitu au kama inatokea kutereza dont do it again.
 
Nenda hata kayaulize mabeberu na majogoo, yanaujua ukweli huu kwakuwa mitetea na mambuzi jike yameridhia kuwa: Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja, bali mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja.

Na hili ndilo neno la MILA!

Babu kama unawafundisha wajukuu hivo hehehe unawaharibu babu....

babu hivi vi- smiley vya Invisible vimepotelea wapi thatha naona 15 -nimeingia underground sivioni
 
Nenda hata kayaulize mabeberu na majogoo, yanaujua ukweli huu kwakuwa mitetea na mambuzi jike yameridhia kuwa: Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja, bali mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume mmoja.Na hili ndilo neno la MILA!
Hao uliowataja ni wanyama na ndege...utashi wako na wao SIDHANI kama unalingana!!!Kwanzia leo wewe sio babu yangu tena....haki ya nani naanza kukuita MKWARE....immediately!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom