Would you say it? (Ungesema?)

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,823
Bandugum

Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:

yangu ni mafupi tu

Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it

Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha

Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa

Good Friday!
 
Dah, nilivyo na roho ndogo naweza nikajisalimisha kabla hati ya kukamatwa haijatolewa.
 
dah..uliipimia wapi kwanza LD....ndo kusema kwamba huthubutu hata kidogo:juggle:
 
Nitasema,sina uwezo wa kuhifadhi sirii kwa muda mrefu hasa pale yule niliyemtenda visivyo hastahili kutendewa hivyo...God Forbid Please!!!
 
Michelle, unakuwa umepima vizuri madhara ya kusema na kutosema lakini..naona hapo kwen bold huimagine ikutokee....kiuzushi uzushi hadi sa ivi umeshatunza "siri" ngapi.....mmh
 
Ni ngumu sana naprefer asiniambie kabisa sababu naumiaga sana moyoni kwa muda mrefu na vitu vidogo itakuwa hili? nahisi nitamchukia na mapenzi yatashuka sana
 
Nitasema,sina uwezo wa kuhifadhi sirii kwa muda mrefu hasa pale yule niliyemtenda visivyo hastahili kutendewa hivyo...God Forbid Please!!!
Ahaaa ahaaa First Lady kumbe hauwezi kuvumilia good natumaini this time utaniambia ulipocheat na yule mshikaji mnayekaa naye mtaa mmoja
Hommie sasa utasema kila siku au unasema siku moja zingine unazikaukia? Ukweli unauma hommie
Hommie umeniwahi nilitaka kumuuliza hicho hicho ulichouliza wewe
 
Hommie sasa utasema kila siku au unasema siku moja zingine unazikaukia? Ukweli unauma hommie

hapo umeenda mbali zaidi hommie but hata ingekuwa ni hiyo mara moja ungesema? afu hommie zingatia katiba....
 
Michelle, unakuwa umepima vizuri madhara ya kusema na kutosema lakini..naona hapo kwen bold huimagine ikutokee....kiuzushi uzushi hadi sa ivi umeshatunza "siri" ngapi.....mmh

Sijawahi kutunza siri za mapenzi ila nafikiri nikiwa nazo..... lazima nipime madhara ya kusema na kutosema,manake "not everything is about me",kuna wakati consequence za matendo yangu zinaweza kuwa na impact kwa watoto au familia kwa ujumla,so lazima nipime. So far sijawahi ku-cheat kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi,sina siri za aina hiyo.
 
Ahaaa ahaaa First Lady kumbe hauwezi kuvumilia good natumaini this time utaniambia ulipocheat na yule mshikaji mnayekaa naye mtaa mmoja

ha ha ha ha.....sasa hiyo siunaijua jamani? au unaona raha sana nikijiuma uma midomo kukuelezea live!!
 
Bandugum

Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:

yangu ni mafupi tu

Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it

Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha

Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa

Good Friday!

Mpwa ukicheat na ukajijua umecheat tafadhari liweke moyoni mwako usimwambie mwenzio.

Ukimwambia mwenzio italeta madhara makubwa sana kuliko wewe unavyo fikiria kama ni upendo tu kumjuza.
 
Kama umechit na nafsi yako inakusuta sn kwa ulichokifanya..utamwambia tu mwenzio ili upate kuponya nafsi yako..hakuna kitu kibaya km nafsi kukosa amani.
 
Sijawahi kutunza siri za mapenzi ila nafikiri nikiwa nazo..... lazima nipime madhara ya kusema na kutosema,manake "not everything is about me",kuna wakati consequence za matendo yangu zinaweza kuwa na impact kwa watoto au familia kwa ujumla,so lazima nipime. So far sijawahi ku-cheat kwenye uhusiano wowote wa kimapenzi,sina siri za aina hiyo.

Thanks Michelle........... thats my girl!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom