Would you keep your ex-lover’s photos?

Nimezi scan na kuziweka dropbox
Purpose: Nasubiri mwisho wa mwaka niweze kufanya Analysis, I mea niweze ku calculate input na output ili excess niweze ku submit TRA


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Kuzirudisha wengine hatuwezi na tumeanzisha mahusiano mapya hivyo lazima tuziondoe ili isije kuwa kesi.

Nakuunga mkono, Sizirudishi na siku hiyo hiyo natia kibiriti na majivu natia chooni. Nilipo mwacha/alipo niacha kwangu nilimwona ka ma.vi ya jana.
Sina kinyongo naye, nasonga mbele Mola atanijaalia mwingine. Nyumba ikiisha pigwa X maana yake Bomoa sio Karabati. Namwangalia nini?? Hata ndoto yake sioti.
Huyu niliye naye hanitoshi??
 
ninazo hadi leo kwa album. Bahati mbaya wakaka nlowahi kudate nao wote walikuwa best friends, hata tukiachana haijawahi kuachana kwa ugomvi hadi mshindwe kuongea o kusaidiana kwa shida.
Ndo maana sijaona shida kuwa na picha zao, as long as ni part ya memory hiyo
 
Kama bado nampenda No siweki maana zitanisumbua! Ila kama sina feelings nae tena hata nikiziweka hazitanisumbua zitakuwa kama za marafiki wa kawaida tu!

perfect! yani ume ongelea uhalisia
 
Hivi wapenzi hupeana picha saa ngapi? Haijawahi tokea.
 
Iwe mmeachana kwa sababu yoyote ile si haki kuwa na picha za x wako,Jifikirie mwenzio ameziona unadhani tafsiri yake ni nini?

Kwa kweli mimi tukimalizana nachoma moto kumbukumbu zote ila namba ya simu ???nitaisave hata jina la kiume for sometime!!

ha ha ha ha mnanifurahisha sana kuna utofauti upi wa wewe uliyeacha no tna ukasave jina lingine,,,,na aliyeacha picha kama kumbukumbu....na anayemkumbuka kila wakati???wooote ni kundi moja
 
I keep them for a short while after the rlship is over,(mana nisipotunza ntaanza kupita social networks nichukue moja) then nazidispose ikifika muda nikaamua nataka kumove on
 
Nimezi scan na kuziweka dropbox
Purpose: Nasubiri mwisho wa mwaka niweze kufanya Analysis, I mea niweze ku calculate input na output ili excess niweze ku submit TRA


In this world nothing is certain than Tax and Death.

hahhahaha umetisha..kitu unakipa treatment kama VAT,haya bwn
 
Sasa nitaweka ngapi jamani, coz album itajaa picha za maex, lols
 
Kwani picha ni nini........?
 
Mimi x wangu anamapicha yangu kibao na nyingine tulizopiga pamoja ata katika mapozi tata! Nashangaa kwann huwa anazihifadhi na tayar keshaoa, ila hatukuachana kwa ugomvi ingawa kwangu mimi nilimind na nkafuta adi no ya cm na zawad zote nikazipiga kiberiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…