Wote tunapenda pesa lakini ..

Wote tunapenda pesa lakini ..

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Familia moja kutoka mkoa mmoja wa kaskazini mwa TZ walikuwa wanauguliwa na baba yao.... baada ya vipimo pale hospitalini, waliambiwa mgonjwa inanidi apelekwe India..gharama ni 8,500,000/=......

Kaka wa familia aitwaye Ambrosso akasema.. chaaaaaaaa! lekeni utondo wasoroo... Gharama za mazishi hazifiki hata nusu ya matibabu........ ni vizuri tusubiri afe tutasevu gharama za matibabu na iliyobaki tutaziongeza kwenye biashara setu.......
 
Hahahaha wachaga ni noma kweli eti achen ujinga tuache afe hahahahahahahaha yalaa
 
Pilau kaka umetisha mambo ya cost cuting nanini nini kwikwi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom