wote TULIOKOSA mkopo tukutane hapa!!!!

wote TULIOKOSA mkopo tukutane hapa!!!!

man ov action

Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
58
Reaction score
7
wapendwa mimi ni miongon mwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao nimepatwa na majanga ya kukosa mkopo katika lots zote, bt niliamua kwenda hadi hesib kujua tatizo ni nini, jambo la kushangaza niliambiwa fomu yangu haikufika, hvyo taarifa zangu hazipo!! lakini wakanambia niamdike barua niambatanishe na nakala ya fomu niliyotuma mwanzo pamoja na risiti ya EMS, nilifanya hayo yote lakini mpaka saizi cjapata chochote wakuu na sijui kama kuna majina mengine yatatolewa, hali ni ngumu sana na wazazi ndo hivo tena hawana uwezo wa kunisomesha!!! nimekata tamaa ya maisha!!!!! cjui la kufanya
 
daah naumwa sana kwaajil ya kukosa mkopo jaman, najihisi mimi sio mtanzania kabisa! naomba mungu wangu nisaidie kwakwel
 
Nyie wandugu mambo yenu yanashugulikiwa na vijana juzi nasikia waliandamana na waziri mkuu mpaka bodi xo nasikia wapo kwenye awamu ya mwisho ya kurekebisha matatizo theni watarelease lot nyingine soon
 
Nyie wandugu mambo yenu yanashugulikiwa na vijana juzi nasikia waliandamana na waziri mkuu mpaka bodi xo nasikia wapo kwenye awamu ya mwisho ya kurekebisha matatizo theni watarelease lot nyingine soon

ngoja tusubil mkuu maana hali ni mbaya sana kwa upande wangu.!! mungu awawaidie maofficer wa bodi ili wanikumbuke na mimi kwa sababu nimekoxa furaha ambazo wezangu wameshapata!
 
Back
Top Bottom