Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
dah pole sana ndugu yangu, hata mimi nimesoma shule za kata kuanzia form one hadi six na nilidahiliwa chuoni round ya kwanza, na kwa waliokosea maombi ya mkopo simo, lakini first batch nimekosa. tuwe na subira tu ndugu...Mimi nimekosa first batch na nimesoma private wazazi wangu ni wakulima,nimesoma private sababu ya kukosa nafasi shule za serikali ,nilichaguliwa udoM Md na niliapply chuo round ya kwanza bado sijajua hatima yangu hadi sasa kama nitaweza kusoma
yan mkuu Mimi pia nmepata M.D. udom ila nimetokea diploma Yaan nimeunganisha sasa shule zote za sekondari nimesoma za serikali na chuo pia nilisoma cha serikali na wazazi wote niliandika wakulima sasa pia nimekosa yan mpaka nimekata tamaaMimi nimekosa first batch na nimesoma private wazazi wangu ni wakulima,nimesoma private sababu ya kukosa nafasi shule za serikali ,nilichaguliwa udoM Md na niliapply chuo round ya kwanza bado sijajua hatima yangu hadi sasa kama nitaweza kusoma
hongera.Nimesoma gvt
kwenye saini ya mtendaji sijaweka
nkasubiria correction sikuwepo
Ila first batch nipo
Hata mimi pia wameniandikia hivyo ...ngoja tusubiri (MUNGU atusaidie)....................View attachment 1237885
Basi karibia wote ambao atujapata sasa sijui wanamaanisha nn ila ngoja tusubilieHata mimi pia wameniandikia hivyo ...ngoja tusubiri (MUNGU atusaidie)
Muwe na uvumilivuBasi karibia wote ambao atujapata sasa sijui wanamaanisha nn ila ngoja tusubilie
Ndio mambo ya mkopo wengine wanasema ga Ni bahati.Nimesoma gvt
kwenye saini ya mtendaji sijaweka
nkasubiria correction sikuwepo
Ila first batch nipo
watapata woteNdio mambo ya mkopo wengine wanasema ga Ni bahati.
Unaweza ukawa na wasiwasi kwamba umekosea unakuta kitu hicho.
Nimesoma private primary to high bado kimo.
Lakini muhimu uvumilivu huwezi kukosa mara zingine huenda taarifa zilikosewa au chuo ni umepata awamu ya ngapi?
Asaiv ukisema mzaz mkulima wanaweza jua mkulima wa korosho au pamba kwaiyo ao wanachukuliwa kma wanaheladah pole sana ndugu yangu, hata mimi nimesoma shule za kata kuanzia form one hadi six na nilidahiliwa chuoni round ya kwanza, na kwa waliokosea maombi ya mkopo simo, lakini first batch nimekosa. tuwe na subira tu ndugu...
Kwan wamelipwa.Asaiv ukisema mzaz mkulima wanaweza jua mkulima wa korosho au pamba kwaiyo ao wanachukuliwa kma wanahela
Au wameangalia upande wa wazazi hali ya kiuchumi..?yan mkuu Mimi pia nmepata M.D. udom ila nimetokea diploma Yaan nimeunganisha sasa shule zote za sekondari nimesoma za serikali na chuo pia nilisoma cha serikali na wazazi wote niliandika wakulima sasa pia nimekosa yan mpaka nimekata tamaa
Kiongozi namba unitumie naomba yakohongera.