Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,129
- 62,144
hakuna mtu hata mwenye miaka 150 tu hapa duniani. waongo tu hao. huyo kama hatakuwa 120, labda chini ya hapo.Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.
Tunaelekea wapi mkuuHii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.
Inasemekana ana miaka 399, lakini sio kitu...amefikia uzee wa mateso, hakuna kuonaHakuna atakayebaki mkuu..
Inabidi kujiuliza zaidi mkuu, kama miaka 90+ ni changamoto kufika, iweje 399399? Naomba kubisha kwanza
😂😂😂Kwa nini mkuu?hakuna mtu hata mwenye miaka 150 tu hapa duniani. waongo tu hao. huyo kama hatakuwa 120, labda chini ya hapo.
Tutende mema tu na tuheshimiane; mbwembwe za huu uhai tuuweke pembeni. Pamoja na kuishi miaka yote, lakini bado umauti unamsogelea, baadhi ya viungo havifanyi kazi.Tunaelekea wapi mkuu
Hapo anaona ni mateso hata kuishiDuh kwa kweli yaani hapo hata ladha ya chakula imepotea kabisa
We acha tu kwa kweli dunia tunapita hapo hatamaniki ila ukiangalia picha za ujanani alikuwa ni pisi kali kwa kweli🥺🥺🥺Hapo anaona ni mateso hata kuishi
Aisee we ni kiazi unabisha nini sasa?399? Naomba kubisha kwanza
Yeah, pia hata hiyo 90 mi naomba nifike nikiwa strong na bado niwe na uwezo wa kutandaza miti, otherwise nitakuwa mnyonge sana kwa kweli..Inabidi kujiuliza zaidi mkuu, kama miaka 90+ ni changamoto kufika, iweje 399
ha ha ha tuendapo hatupajui, bora tubaki hapa hapaBora nife kuliko mateso hayo
Watakuwa wamechanganya mafailiMiaka 399 ni uongo yani tangu Mika ya 1600 huko alikuwepo
Tatizo baada ya kifo haijulikani ni kitu gani kinafuataKwangu Kifo ndio bora kuliko kufika uzee huo