Wosia wa Baba Nyerere: Dhambi ya Ubaguzi inalitafuna Taifa..!!

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Hayawi hayawi yamekuwa..!!!
Kile alichowahi kukitabiri au kukibashiri Baba wa Taifa hili Mwalimu J.K.Nyerere(rip) wakti wa uhai wake kuhusu DHAMBI YA UBAGUZI kimetimia. Baba Nyerere alisisitiza kuwa kama dhambi hiyo itafanywa na Watanzania wenyewe wawe ni wa upande mmoja wa Muungano iwe ni Bara au Visiwani basi dhambi hiyo haina budi kututafuna kama Taifa!!!! Hapa chini nimeweka Link ya Youtube ili tuweze kufuatilia maneno haya kwa pamoja.

Sauti ya Baba wa Taifa imekuwa ikichezwa mara kwa mara kwenye vipindi vya redio na TV zetu ikiwemo TBC, Uhuru FM(WOSIA WA BABA) za Serikali kila siku. Viongozi wa sasa wa Taifa hili akiwemo Rais John Pombe Magufuli wanasikia sauti hii lakini wameziba nta kwene masikio. Ubaguzi wa Kisiasa unaofanywa kwa sasa katika Utawala huu wa A5 unatisha. Kwa uchache tu hebu nikujuze aina ya Ubaguzi ambao kwa sasa umeshika kasi na umeanza kutishia maisha na uhai wa Watanzania kwa kiwango cha kutisha.
  1. Kubaguliwa kwa Vyama vya siasa kwa kunyimwa haki ya kufanya siasa, kupiga na kupigiwa kura katika ngazi zote za Uchaguzi.
  2. Serikali kukataa kupeleka fedha za Maendeleo katika majimbo au maeneo yaliyo chini ya Upinzani hasa CHADEMA.
  3. Wabunge na Viongozi wa Upinzani kufanywa ni maadui kwa kukamatwa, kuteswa na kufunguliwa kesi za Uchochezi kila wanapotumia uhuru wao wa kujieleza.
  4. Kupigwa risasi hadharani, kuteswa na kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha kwa kutumia watu ''wasiojulikana''.
Naomba kuwasilisha.
 
yaani tuelekeako demokrasia ndo inakwisha kabisa

Kwa hapa tulipofikia kwa sasa inabidi Watanzania washikane kwa amombi ya kufunga na kuomba ili Mungu atuepushie balaa linalotunyemelea. Sasa nchi inaongozwa na 'mungumtu' ukilogwa ukamkosoa au kumpa changamoto kwenye uongozi wake wewe ni adui nambari 1 na lazima ushughulikiwe. Huu ni zaidi ya UKABURU wa Watawala enzi za Ubaguzi wa rangi hapo S.Africa..!!!
 
Kama kweli haya yasemwayo ni kweli tunapoelekea ni Mungu ndio anajua
03bcfcbc4968b9793b74ad7e16d261da.jpg
83db103885b80df76965ffa197484363.jpg
f85cdde316fc6a21df29111bc637b9f5.jpg
 
Hayawi hayawi yamekuwa..!!!
Kile alichowahi kukitabiri au kukibashiri Baba wa Taifa hili Mwalimu J.K.Nyerere(rip) wakti wa uhai wake kuhusu DHAMBI YA UBAGUZI kimetimia. Baba Nyerere alisisitiza kuwa kama dhambi hiyo itafanywa na Watanzania wenyewe wawe ni wa upande mmoja wa Muungano iwe ni Bara au Visiwani basi dhambi hiyo haina budi kututafuna kama Taifa!!!! Hapa chini nimeweka Link ya Youtube ili tuweze kufuatilia maneno haya kwa pamoja.

Sauti ya Baba wa Taifa imekuwa ikichezwa mara kwa mara kwenye vipindi vya redio na TV zetu ikiwemo TBC, Uhuru FM(WOSIA WA BABA) za Serikali kila siku. Viongozi wa sasa wa Taifa hili akiwemo Rais John Pombe Magufuli wanasikia sauti hii lakini wameziba nta kwene masikio. Ubaguzi wa Kisiasa unaofanywa kwa sasa katika Utawala huu wa A5 unatisha. Kwa uchache tu hebu nikujuze aina ya Ubaguzi ambao kwa sasa umeshika kasi na umeanza kutishia maisha na uhai wa Watanzania kwa kiwango cha kutisha.
  1. Kubaguliwa kwa Vyama vya siasa kwa kunyimwa haki ya kufanya siasa, kupiga na kupigiwa kura katika ngazi zote za Uchaguzi.
  2. Serikali kukataa kupeleka fedha za Maendeleo katika majimbo au maeneo yaliyo chini ya Upinzani hasa CHADEMA.
  3. Wabunge na Viongozi wa Upinzani kufanywa ni maadui kwa kukamatwa, kuteswa na kufunguliwa kesi za Uchochezi kila wanapotumia uhuru wao wa kujieleza.
  4. Kupigwa risasi hadharani, kuteswa na kupotezwa katika mazingira ya kutatanisha kwa kutumia watu ''wasiojulikana''.
Naomba kuwasilisha.

Yanatokea wakati wa uhahi wetu
 
Tusimuogope huyu dhalimu aliyejaa dhuluma za kutisha roho mbaya na chuki. Baba wa Taifa alituachia wosia na bahati nzuri upepo dhidi ya huyu nduli unabadilika na kuanza kuchukiwa na wengi hata ndani ya MACCM.

Alutta continua! continua!
 
If this tweet from Ansbert Ngurumo is valid and true, basi Watanzania kama Taifa tunatakiwa kujitathmini tumekosoa wapi na ili tuanze mkakati wa kuirudisha amani yetu kwa namna yoyote itakayo onekana inafaa!

Kwamba sasa baya lolote likifanywa na Watawala wa CCM na Serikali yao lazima WAHUSISHWE WAPINZANI....!!!
Jumuia za Kimataifa ziko wapi mpaka zinaachia uoza huu uendelee badala ya kupaza sauti...??? Kila mtu na Dunia yote inafahamu Acqulina Akwilini AMEUAWA KWA RISASI ZA POLISI zilizofyatuliwa kuwalenga Wana CHADEMA kama Postermotem ilivonesha lakini leo wanamtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA kumhusisha na kifo hiki? Haki iko wapi?
  1. Kwanini mpaka sasa Polisi waiohusika na matumizi ya Risasi za Moto kuzuia maandamano ya amani kwenda kuchukua barua za Viapo hawajatiwa hatiani??
  2. Kwanini Mkurugenzi wa Kinondoni kama Msimamizi wa Uchaguzi hajatiwa hatiani kwa kusababisha vurugu hizo alipokataa kuwapa Mawakala barua za viapo?
  3. Kwanini Kamanda Mambosasa aliyekuwa akisimamia hao mapolisi hajatiwa hatiani?
  4. Kwanini Waziri Mwigulu Nchemba hajajiuzulu kutokana na upuuzi huu wa Jeshi la Polisi?
 
Mambosasa alisema risasi imepigwa juu. Ilikuwaje ikapinda na kurudi kuelekea kwenye daladala na kumwua Akwiline?
 
Ubaguzi wa kidini (udini) tumeushinda bila kumwaga damu
Ubaguzi wa kikabila (ukabila) tuliushinda kwa kuwa na viongozi wanaotoka makabila madogo
Ubaguzi wa kijinsia (mfumo dume) tumeushinda kwa kuwabagua wanaume kwa muda ili kina mama wajenge uwezo
Ubaguzi wa kikanda (ukanda) tuliushinda kupitia JKT na Kiswahili, lakini hivi sasa unakuja kwa kasi katika mfumo wa kuibagua kanda fulani na kuipendelea kanda fulani (at least kwa mwonekano)
Ubaguzi wa kiitikadi ni mkali sana. Mpaka sasa umefanya yafuatayo:
-Watu wenye itikadi isiyo kwenye utawala wamepotea, wameuawa, wameteswa, wamefungwa, mamia wako mahakamani, wamejeruhiwa kwa risasi na sialaha nyingine, -- kwa ujumla taifa liko vitani dhidi ya wapinzani
-Viongozi wa upinzani na wanachama wamegeuka wakimbizi ndani ya nchi yao. Kambi ya wakimbizi ni CCM. Wanaohama wanatafuta usalama, kuepuka kufilisiwa, kufungwa, kutekwa, n.k
-Kazi za maendeleo zimesimama mpaka zoezi la ubaguzi litakapokamilika na kuhakikisha wasiotakiwa wote wanamalizika
-Watu wote wenye uraia tata, biashara haramu, vyeti feki, tabia tata - wote hawa wamehamia kambi ya wakimbizi CCM. Huwezi na moja ya haya ukabaki upinzani.
 
..du huyu nduli anaetumaliza watanzania kumbe baba wa Taifa alishamtabiria!!!!....yani kweli uoga wa watanzania ndio mtaji wa hili dhalimu...limebaki kuwaswaga watanzania kama makondoo...

Tusimuogope huyu dhalimu aliyejaa dhuluma za kutisha roho mbaya na chuki. Baba wa Taifa alituachia wosia na bahati nzuri upepo dhidi ya huyu nduli unabadilika na kuanza kuchukiwa na wengi hata ndani ya MACCM.

Alutta continua! continua!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom