Worst Dates Experiences( Vidate Vilivododa)!!!!!! Kubwa Gani Lilishakukuta!


Hahahaaaaaaaaa! Babuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!
 

Hehhee umenikumbusha mbali sana......nakumbuka kule arusha kuna demu mmoja tulikua wote chuo flani hivi......kwa kweli alikua kasimama.....siku moja akanialika niende kwao......mchaga mimi nikapanda basi mpaka Arusha.....kipindi hicho simu za mkononi hamna.... basi kijana nikaenda mpaka kule sekei juu.......nikafika sehemu aliponiagiza nikaulizia jina la kwao nikaonyeshwa..kata kona ya kwanza...kuna geti jeusi ndo hapo..

Hodiiii...hodiii.... marageti likafunguliwa.....bonge la nyumba....jumba lenyewe limezungukwa na shamba... basi yule mlinzi akanielekeza kwene nyumba...he! nakutana uso kwa uso na mzee mmoja ameshiba kakaa kwenye kiti cha uvivu..akaniuliza

Nikusaidie nini kijana..
Shikamoo mzeee..nilikua namuulizia ....
Ahaaa..wewe ni mtoto wa nani....
Du! Nikataja jina la kwetu..... basi mzee kasearch kwenye ubongo akaona huyu kamsanyange tu huyu masikini hana kitu...
Basi akaeuka nyuma akaita jina la mkaka nafikiri alikua house boy.... kaka akaja..mimi si nikajua anapewa maagizo anikaribishe ndani au aniletee kiti...

He! mzee si kaagiza jembe na shoka.......akaniambia Kijana ebu wakati unamsubiri kuna kakazi unisaidie hapa..
Aisee nililimama kama nusu saa ivi..nikaona isiwe shida...nikachukua shati langu....nikamwambia mzee narudi sasa ivi...akaniganda eti subiri anakuja sasa ivi...aaa wapi...
Yule demu nikampa kubwa...... bahati nzuri nilishamvuruga hivyo haikuuma sana kwangu.
 

Damnnnn!!!!!!!! That was so rude of you!!!!!!
 
Hahahaaaaaaa! Hapo kwenye BOLD bado napatafutia tafsiri yake huku ofisini kwa kumuuliza kila mtu, nisaidie ni kilugha gani? Siwezi kuachia kujua maana yake!

Mtafute Bishanga,

Dada yao mmoja alinifundisha enzi za ujana wangu.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaaaaa!!!!! Ulitaka kulimia Jembe kwenye lami!!!!!!! Tafuta CATAPILLER!!!
 
hahahahah kuna watu wako standby kusubiri siri za jeshi.....nimeghair ngoja nkalale...usiku mwema kwenu nyote...roho wa bwana awe nanyi na awalinde usiku huu....

Lete picha hilooooo! mimi niko standby nangojea mambo!
 

Hhahahaha.....Aisee yu have made my day! Nimecheka kwa sauti humu ofsin kwa story yako...hii usiache kuwasimulia wajukuu...LOL

KWELI JF IS NEVER BORING as per THE BOSS
 
Hhahahaha.....Aisee yu have made my day! Nimecheka kwa sauti humu ofsin kwa story yako...hii usiache kuwasimulia wajukuu...LOL

KWELI JF IS NEVER BORING as per THE BOSS

Hahaha.....This is true...hata wife nshamuadisiaga......... siwezi kuisahau aisee.. yule mzee alishafariki Apumzike kwa amani.
 
hapana sikua muhanga.....

tena nilikuwa na marafiki machakaramu ile mbaya...ila sijui nilikuwa zobaaa? yaani nashukuru sikujanjaruka kabisa aisee.....Mungu alisaidia...



Safi sana BADILI TABIA,

Kuna mtu alinambia kuwa wadada waliokuwa wakali wa shule walijikuta kama wamepata temporary impotence,

Na wewe ulikuwa mhanga??

Babu DC!!
 

kulaaleeeki, we ulijua ni lisistaduu kumbe limburulaaa!!!hahahahahahahaaa
 
Huu uzi umenipa kumbu kumbu siku moja nikiwa zangu safarini Shinyanga kufika mida ya jioni nikamuomba mwenyeji wangu anielekeze mahala walipo watoto wakali wanisaidie kupunguza makali ya usiku.Akaniambia anazo sana akampigia aliyekuwa Miss Shinyanga wakati huo.

Sista duu akaja na rafiki zake tukaenda Butiama(Ukumbi wa starehe) ku-dance mpaka alfajiri then wakasema twende tukatafute supu.Wakatupeleka eneo husika na kuagiza supu ya hovyo ambayo sijawahi kuona mimi na mwenza ngu ilitushinda so walikula supu zao wakavamia na za kwetu halafu wakashushia Mizinga miwili ya Konyagi baada ya hapo sikumbui ni nini kilinitokea ila nilijikuta niko Kahama.
 
Fifteeeennnnnnn!!!!!!!!!! What a player! I guess bado hujampata huyo the One!
lara 1...do u really mean it calling me a player!??

I had all those dates and more (which i dont count as first dates) but mind you not all of them led to doing to doable! However, all those that led to such pleasure were strictly on mutual agreement with no further promises made!!!

Now, do u still consider me a player? think again..


Oh n btw, I have found my ONE... one September 2010 afternoon...but it took me another yr to finally convince her!! (and with her, we actually never had a 'first' date!)
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa., hii ni kali kuliko zote., nimecheka hadi machozi asess, huyo mzee alikuwa nouma dadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…