masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,625
- 14,578
Sheria ndogo ya architecture ninayoifahamu, unachora kitu kinacholingana na majengo yanayokuzunguka.Alafu watu wa mipango miji wanatoa vibali tu vya ujenzi wa kihasara, yani shopping mall gani hii?
A shopping mall to be. After completion you will like what will be sold in if you wont like the building.
Mkuu umekulia kwenye tembe au vipi?Badil njia kama unakwazika,sio lazma kpita hapo
Tatizo mmekariri kuwa kwenda mjini lazima uende na gari.Bwana we, it takes fools to develop ,draw and build a mall on a main highway like AH Mwinyi rd.
It takes bigger fools at the City Hall to approve them!
Results
- no parking
-difficult access and egress
-long ensuing ques
-padestrians will be knocked over frequently and more vehicular accidents
Call it a lose-lose scenario.
Mkuu umeondoka bongo siku nyingi au vipi?Tatizo mmekariri kuwa kwenda mjini lazima uende na gari.
Mji kama wa Dar, kwanini uendeshe gari mpaka city centre?
Huyo mtaalam aliyechora dudu hili afungiwe leseni.Haha ni kweli aisee ila liko hivo kutokana na function zake za ndani kule juu kuna movie theater ndio maana hamna madirisha.... Ingekuwa bora ziwe kwenye other side ya facade... Sikuhizi hizi kazi zetu zinaingiliwa na maengineer ndio maan design zinakuwa mbaya hio ni kazi ya engineer architect hawezi chora jengo baya hivi
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nilidhani ni mimi pekee ndio napata mshangao ninapopita pale kumbe wapo na wengine? Lakini ndio uwezo wa baadhi ya wataalam wetu wa uchoraji hapa nchini.
Sheria ndogo ya architecture ninayoifahamu, unachora kitu kinacholingana na majengo yanayokuzunguka.
Sasa huyu developer na architect wameweka magodown ya Nyerere rd na Chang'ombe sehemu si yake.
Na vilaza wa mipango miji wanachekelea pochi tu.