Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,886
@ Preta huyo ana ubora gani amekauka hivyo???
Mie bado siamini kama kweli ni wanawake...lol.
huyo ukimwangalia kwenye picha ya chini, ana body ya kike kidogo
@ Preta huyo ana ubora gani amekauka hivyo???
Mie bado siamini kama kweli ni wanawake...lol.
Lo...ZD kwani hao hawana mvuto mbona wako poa....:eyebrows:
hasa ukiwana kipururu ndio utawaona wako poa :eyebrows:
Huo unyumba mwanaume lazima aumie manake hatakutana na vitu laini laini... Hao wamekomaa mpaka ulimi nadhani..