Kwenye red mawazo ni personal issue sijui unajuaje wenzako wanawaza nini kwa wakati upi? Kama wewe unawaza sana ngono hayo ni mawazo yako personal na waafrika wote au wazungu wote,au waarabu wote au wahindi wote au wachina wote. Please acha kugeneralise mawazo ya watu